MOROGORO: Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi sita

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
MOROGORO :- Waziri Aweso awasimamisha kazi watumishi sita

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amewasimamisha kazi watumishi sita akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA), Tamimu Katakwemba pamoja na Afisa Maji Bonde la Wami-Ruvu, Simon Ngonyani kwa tuhuma mbalimbali za matumizi mabaya ya ofis

Akizungumza na watumishi wa MORUWASA na ofisi ya maji bonde la Wami Ruvu mjini Morogoro, Waziri Aweso amesema Katakwemba amesimamishwa kazi kwa kosa la kusaini mkataba wa Euro milioni 70 kwa ajili ya upanuzi wa Bwawa la Maji la Miundu bila ridhaa ya wizara ya maj

Kwa upande wa afisa wa maji bonde la Wami Ruvu, Aweso amesema amemsimamisha afisa huyo kwa kushindwa kuwajibika kusimamia miradi mbalimbali inayotekelezwa na serikali pamoja na kushindwa kuwasimamia watumishi wak

Wakati huo huo amewasimamisha kazi watumishi wanne wa MORUWASA kwa kukiuka maadili ya utumishi wa umma

 
Ni swala la kusubiri tuone kama wamefukuzwa kwa haki ama Lah!!
Huyu bado anaogelea kwenye fikira za Jiwe. Taratibu za discipline ya watumishi kazini zinasema hivyo? Sawa wanaweza wakawa wana makosa lkn utaratibu umefuatwa?
 
BSC Chemisrty

Screenshot_2021-04-18-08-27-27.jpg
 
Kiukweli Morogoro maji ni shida
Morogoro, MORUWASA, BONDE, wanahitajika darasa la 7, kina Musukuma wakisaidiana na askofu Rashid, kutatua matatizo ya maji.
Watu wametafuna na kusaga hela za miradi. Mji una shida ya maji huku kuna vyanzo visivyo idadi na mvua kutosha.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom