Morogoro: Watu 5 wapoteza maisha, wengine 24 wajeruhiwa katika ajali ya gari

Nkanini

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,362
2,000
Poleni mno wafiwa na majeruhi Mwenyezi Mungu awape unafuu wa haraka,ajali imetokea sasa nini tujifunze hapa?ajali definitely its someone fault hakuna kitu kinachoitwa ajali;ile barabara kutokea kingorowira hadi kijiji cha Duma ni muhimu ikabanuliwa,alama za barabarani za kuwaonya madereva zikawekwa,jenga fixed speed cameras eneo lile,malori yasiruhusiwe kupaki pembeni mwa barabara unless limepata matatizo na hii ikitokea dereva lazima atumie pembetatu yake kuonya madereva wengine na sio kuweka majani ,traffic officials wafanye kazi zao vema sio kukusanya rushwa tu.
 

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
173,206
2,000
Wakuu, huko Morogoro wakwetu adv. Msando kaanza na simanzi, eneo la Oilcom ajari mbaya imetokea Coaster inatokea Dar ikiwa na abiria na lori la mizigo zimegongana uso kwa uso kwenye Coaster.

=====

Watu watano wamepoteza maisha na wengine 24 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi dogo la abiria Aina ya Coaster na Lori la mizigo katika eneo la Oil Com nanenane mjini Morogoro.

View attachment 1826195
Mungu wangu..huo sio mguu mzuri kabisa
 

Killboy

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
1,267
2,000
Daah;jamaa kaingia na mabalaa kinouma nmeona ajal ya moto kwny bank ya NMB,inabid akatambike kwa kitendo cha kupapasa tupu ya yule mwanamke
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom