MOROGORO: Wanafunzi wa kike walazimishwa kuzibua vyoo bila ya kuvaa 'gloves'

Duh! "Walimu! Walimu! Waalimu!!!


Inatakiwa screening ya hali ya juu kabla ya kuwaingiza mafunzoni, kuna watu wamezaliwa walimu na wapo wengine wameingia huko kama njia ya kupata ajira, kiukweli ualimu ni taaluma yenye msukumo unaoanzia ndani mwa mtu
 
Hujanibu, ulitaka huyo mwalimu afanyweje ili uridhike kama unaona adhabu ya kumuhamisha bila malipo haitoshi.

Ha ha haaaa
Jione unavyokazania nikujibu wakati uliuliza na kugesi uyajuayo... jua sikujibu.. vipeee unanilazimisha???

Naandika nitakacho na kutoandika nisipjisikia kushusha nondo zangu humu.. mfaidi tu... eeeeh
 
Ooh. Kama ni wote hapo sawa ila pia inatakiwa iangaliwe na adhabu ya kukomesha na sio kusema eti umzibulishe mtoto choo kwa kutumia mikono yake pasi kinga yeyote.

Ni kiasi cha walimu kujiongeza tu Mkuu.
 
Ooh. Kama ni wote hapo sawa ila pia inatakiwa iangaliwe na adhabu ya kukomesha na sio kusema eti umzibulishe mtoto choo kwa kutumia mikono yake pasi kinga yeyote.

Ni kiasi cha walimu kujiongeza tu Mkuu.
 
Napoteza muda wangu tu. Uwezo wako wa kufiriki ni mdogo na hilo linajulikana. Umebaki kudandia dandia mambo.

Eeeeeeeeeh
Huniwezi mimi.. hujanisaidia kujiunga humu.. jua sipangiwi na nyie mnaojaribu kutaka kujifunza kwa wengine humu kijeuri..

Jipige vibao vya usoni ulie ulieeeeeeeeee

Cocochanel uliyemjaribu kakumaliza
 
Nawenyewe hao mabinti choo si cha shimo wanatupaje, walimu nao no binadamu ukichangia na ugumu wa maisha stress kibao
 
Back
Top Bottom