Elections 2010 morogoro waipoteza fomu ya matokeo iliyosainiwa,

realtz7

Senior Member
Oct 23, 2010
110
1
habari z ahivi punde toka moro ni kuwa ccm wameiba fomu ya matokeo, wakala walipochachamaa ikapatikana, ila imegoma kuingia ktk machine,(hapa sijui ni machine gani). may be kuna machine ya kugundua feki. habari ndo hiyo ccm wakiangushwa wanafanya kila mbinu kuiba
 
Kuna Mama mmoja juzi Moro nilikutana nae kwenye dara dara alisema kuwa kuiondoa CCM ni ndoto kwaani yeye alitumbukiza zaidi ya karatasi 5 za kura, mawakara siyo makni wanakula mlungura.
 
Back
Top Bottom