Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,373
- 4,692
Hivi wale wazee wa kila kitu ni freemasons wamepotelea wapi?
Anyways, poleni wahanga wote wa tukio.
Anyways, poleni wahanga wote wa tukio.
Kwani kinachotakiwa si maji,wayapeleke yale ya washawasha yanaweza kusaidia.au yenyewe ni yakupambana na wanaodai katiba mpya tu.Walinunua magari mengi ya washawasha wakasahau magari ya zimamoto kila halmashauri hapo ndio balaa kabisa
Kwani unawafahamu,kuwa mzalendo,ipeleke taarifa yako mahali sahihi.Wasije kuanza kuchoma makanisa maana ndiko wanakoelekea.
Inasikitisha
"Mtanikumbuka"! (Magufuli, 2021)Huko soko, kule shule!
Unafurahia 🔥Du leo Ni 🔥 tu Kila mahala.
We ccm unadhan mm Nina roho mbaya Kama yako.Unafurahia 🔥
This is purely terrorism's, Kariakoo sokoni kunawaka, Mombasa kunawaka, na Morogoro kunawaka haiwezekani.
Anti terrorism spuad ifanye kazi
Muhimu maji yafike kwenye moto maana utazima.Du watu mnamambo,yawashawasha pressure ni ndogo sio yakuzimia moto
Pole my wangu kwa kusikitika haujaumia?
Hata walipokuwa gerezani shule zilikuwa zinaungua kama kawa, acha ramli chonganishi.Uhamsho wapo mtaani,alijisemea mtu
Huna akili.We ccm unadhan mm Nina roho mbaya Kama yako.