Morogoro: Shule ya Wasichana ya At-Taanun Islamic inawaka moto usiku huu

Bengal

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
6,419
2,000
Walinunua magari mengi ya washawasha wakasahau magari ya zimamoto kila halmashauri hapo ndio balaa kabisa
Kwani kinachotakiwa si maji,wayapeleke yale ya washawasha yanaweza kusaidia.au yenyewe ni yakupambana na wanaodai katiba mpya tu.
 

Bunsen Burner

JF-Expert Member
Feb 25, 2009
614
1,000
Wala hakuna cha 'terrorism' hapo...ni majanga yanayoweza kutokea, yanayoweza kukabiliwa, na serikali yenye mipango thabiti dhidi ya hayo majanga,kwa kuwa na ' response teams' zenye nyenzo za kutosha( ref..magari yenyewe ya zimamoto kizungumkuti). Haya mambo huitaji pia kuwa na hata kuwa na mikakati dhabiti yenye multiagencies approach kupata matokeo chanya , na hata ikiwezekana pia kupata support kutoka ktk majeshi ili kuweza kupambana na changamoto kama hizi.. kama wafanyavyo wenzetu nchi zingine wakati wa majanga......
This is purely terrorism's, Kariakoo sokoni kunawaka, Mombasa kunawaka, na Morogoro kunawaka haiwezekani.

Anti terrorism spuad ifanye kazi
 

Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
18,336
2,000
Nasikia tetesi kuwa bweni la wasichana la shule ya Charote/Chalote pia limeungua hiyo shule iko mkoa gani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom