Morogoro: sehemu nzuri ya kucheki mpira na kuhang out usiku

brazuka

Senior Member
May 30, 2014
159
245
Nimekuja kwa Mara ya kwanza morogoro
Kwa wale wenyeji ukiachana na samaki samaki...naomba nitajiwe pengine plz panapohappen
 
Nimekuja kwa Mara ya kwanza morogoro
Kwa wale wenyeji ukiachana na samaki samaki...naomba nitajiwe pengine plz panapohappen
TV, utaipata hireling, we sent unahitaji maku, so bends :-
1. Chipukizi
2. Itigi
 
Front view opposite flomi hotel karibu na stand kuu ya msamvu panafaa sana kuangalia mpira ukiwa morogoro
 
Back
Top Bottom