Morogoro: Rahaleo Salehe Mwalimu wa shule ya msingi Dutumi, ajinyonga

pantheraleo

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
691
878
Mwalimu wa shule ya msingi Dutumi iliyopo tarafa ya Mvuha wilayani Morogoro aliyefahamika kwa jina ya Rahaleo Salehe Kazimbaya amejinyonga hadi kufa kwa kutumia Kanga kujitundika kwenye mti wa Mwembe mda mfupi baada ya kumuua mkewe Sikilinda Magumba kwa kumchoma na Kisu sehemu mbalimbali za mwili wake majira ya usiku wakiwa nyumbani kwao mtaa wa kambi tano kata ya Lukobe manispaa ya Morogoro.

Chanzo: Radio One
 
Mmh changamoto unaposhindwa kupambana nazo matokeo yake huwa ni haya ya kuamua kudhulumu nafsi yako na ya mwingine
 
Back
Top Bottom