Morogoro: Polisi waua raia akiwa nyumbani kwake amepakata mtoto kisa wakitawanya vijana wawili waliokuwa jirani na benki wakizozana

Ilikuwa ni usiku wa kuamkia tarehe 7 Nov 2018 mjini Morogoro maeneo ya Masika ambapo askari wawili wa FFU wakiwa rindoni katika benki ya CRDB tawi la Morogoro Mjini waliona vijana wawili wakizozana nje ya uzio wa benki.

Askari akawambia wakazozanie mbali na benki wale vijana wakatii wakavuka barabara wakaendelea na mijadala yao askari akaona dharau akafyatua risasi juu wale vijana wakakimbia, kukimbia askari akawafuata. Ina maana akatoka nje ya uzio wa benki vijana wakatokomea uchochoroni, yule askari akafyatua risasi nyigine ikapita dirishani ikamkuta raia aliyekuwa amepakata mtoto ikapita upande wa sikio la upande mmoja ikatokea upande wa pili akawa marehemu na ikamchana mwanafamilia mwingine sikio nae anaanguka chini ila haikumuua.

Tunavyozungumza Polisi wako kimyaa wala vyombo vya habari kusema lolote juu ya hili
Basi hizi zitakua ni habari za uongo Polisi na vyombo vya habari haviwezi kua kimya kwenye issue kubwa km hii .
 
Ilikuwa ni usiku wa kuamkia tarehe 7 Nov 2018 mjini Morogoro maeneo ya Masika ambapo askari wawili wa FFU wakiwa rindoni katika benki ya CRDB tawi la Morogoro Mjini waliona vijana wawili wakizozana nje ya uzio wa benki.

Askari akawambia wakazozanie mbali na benki wale vijana wakatii wakavuka barabara wakaendelea na mijadala yao askari akaona dharau akafyatua risasi juu wale vijana wakakimbia, kukimbia askari akawafuata. Ina maana akatoka nje ya uzio wa benki vijana wakatokomea uchochoroni, yule askari akafyatua risasi nyigine ikapita dirishani ikamkuta raia aliyekuwa amepakata mtoto ikapita upande wa sikio la upande mmoja ikatokea upande wa pili akawa marehemu na ikamchana mwanafamilia mwingine sikio nae anaanguka chini ila haikumuua.

Tunavyozungumza Polisi wako kimyaa wala vyombo vya habari kusema lolote juu ya hili
Hebu rekebisha sehemu.Hivi ukichanwa na marisaa/risasi sikioni huumii?Ungeandika ..."ila hakufa"...
 
Ilikuwa ni usiku wa kuamkia tarehe 7 Nov 2018 mjini Morogoro maeneo ya Masika ambapo askari wawili wa FFU wakiwa rindoni katika benki ya CRDB tawi la Morogoro Mjini waliona vijana wawili wakizozana nje ya uzio wa benki.

Askari akawambia wakazozanie mbali na benki wale vijana wakatii wakavuka barabara wakaendelea na mijadala yao askari akaona dharau akafyatua risasi juu wale vijana wakakimbia, kukimbia askari akawafuata. Ina maana akatoka nje ya uzio wa benki vijana wakatokomea uchochoroni, yule askari akafyatua risasi nyigine ikapita dirishani ikamkuta raia aliyekuwa amepakata mtoto ikapita upande wa sikio la upande mmoja ikatokea upande wa pili akawa marehemu na ikamchana mwanafamilia mwingine sikio nae anaanguka chini ila haikumuua.

Tunavyozungumza Polisi wako kimyaa wala vyombo vya habari kusema lolote juu ya hili
Bahati mbaya. mistake in fact, hakuna polisi kichaa afyatue tu risasi ovyo ovyo, kuna kitu mtoa mada unaficha, watu kuzozana tu askari wafyatue risasi hiki kitu sijawahi kukiona popote hii habari ni ya kimajungu majungu.
 
Back
Top Bottom