Morogoro: Polisi wa FFU waingia kituoni kata ya Sultani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Morogoro: Polisi wa FFU waingia kituoni kata ya Sultani

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by shade, Oct 31, 2010.

 1. s

  shade Senior Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  kura imeishapigwa toka saa 10. vijana wa ccm na wana saccos za mgombea wa ccm wamekaa pembeni ya majumba tyalokaribu na kituo ambacho kipo shule ya kikundi.

  Cha ajabu ni uwepo wa FFU. lakini pia mkuu wa uchaguzi hapa anaonekana yupo busy na simu pia kupngea na watu wanaokuja na kutoka na magari yao.

  Narudi ku observe zaid na kuleta matokeo.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,275
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  FFU wanafanya nini kuna fujo?
   
 3. M

  Mundu JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,720
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Hebu mpore hiyo simu ukiweza! Tafadhwali
   
Loading...