MOROGORO: Mwanamke ajifungua salama Watoto(Mapacha) wanne

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,397
UZAZI: Mwanamke mmoja mkazi wa Mkoa wa Morogoro amejifungua watoto mapacha wanne katika Wodi ya Wazazi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.

Mwanamke huyo aliyefahamika kwa majina ya Asha Mashaka, amepata watoto hao siku ya jana(Ijumaa)

Bi. Asha amejifungua kwa Opareshini na sasa yeye pamoja na Watoto wake hao wanaendela vyema Hospitali hapo.

IMG_20171223_112217.jpg
 
Hongera na pole kwake. Maana kama maisha yao ni ya kubangaiza bangaiza lazima upatwe na stress. Ila all in all wakiwa ni watu wa imani wakaamini kwamba aliyewapatia hao watoto ndiye atayewawezesha kuwatunza basi watakuwa na amani na furaha tele...
 
Hongera sana kwake

Mungu mjalie subira na wepesi katika malezi ya watoto hao
 
Hongera na pole kwake. Maana kama maisha yao ni ya kubangaiza bangaiza lazima upatwe na stress. Ila all in all wakiwa ni watu wa imani wakaamini kwamba aliyewapatia hao watoto ndiye atayewawezesha kuwatunza basi watakuwa na amani na furaha tele...
Maneno yako ya busara nimeyapenda sana
 
UZAZI: Mwanamke mmoja mkazi wa Mkoa wa Morogoro amejifungua watoto mapacha wanne katika Wodi ya Wazazi ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.

Mwanamke huyo aliyefahamika kwa majina ya Asha Mashaka, amepata watoto hao siku ya jana(Ijumaa)

Bi. Asha amejifungua kwa Opareshini na sasa yeye pamoja na Watoto wake hao wanaendela vyema Hospitali hapo.

Kuna mwingine tena nadhani ni mwanzoni mwa wiki hii amejifungua the same pande hizohizo, je hili ongezeko laweza kuwa linasababishwa na nini? ...kwenu wataalam
 
Kama alitanguliza watatu hiyo family ni Padua kichwa ila kama ndo anaanza nadhani kafupisha safari
 
Back
Top Bottom