Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,001
- 9,866
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mkuyuni, Mussa Basila(46) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kumpiga hadi kumng’oa jino mwalimu Witnes Clemence(31)
Basila amedaiwa kumshambulia Witness kwa fimbo na ngumi hadi kumjeruhi. Chanzo cha ugomvi wao hakijajulikana
Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro Fortunatus Musilim amesema Witnes ametibiwa na uchunguzi unaendelea ili kumfikisha mahakamani mtuhumiwa