Morogoro: Mwalimu Mkuu ampa kichapo na kumng'oa meno mwalimu mwenzake

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
4,180
2,000
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mkuyuni, Mussa Basila(46) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kumpiga hadi kumng’oa jino mwalimu Witnes Clemence(31)

Basila amedaiwa kumshambulia Witness kwa fimbo na ngumi hadi kumjeruhi. Chanzo cha ugomvi wao hakijajulikana

Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro Fortunatus Musilim amesema Witnes ametibiwa na uchunguzi unaendelea ili kumfikisha mahakamani mtuhumiwa
 
GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,558
2,000
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Mkuyuni Mussa Basila (46), kwa kumshambulia kwa fimbo na ngumi hadi kumng'oa jino mwalimu mwenzake Witines Clemence (31) huku chanzo cha ugomvi huo hakijajulikana na uchunguzi wa tukio unaendelea.
Mwalimu alitaka ndogo

Siku hizi watu wengi hawataki mbele tena, Wapo bize na ndogo

Ukiona Mwanaume mtu mzima anaamua kumtandika mwanamke mara nyingi ni mambo ya mapenzi

Wazee wanataka mambo makubwa Halafu kutoa pesa hawataki,

Hakuna mwanamke wa bure miaka hii, Wanawake wanawaza pesa tu

Ukitaka cha bure labda umpende mbuzi au kondoo

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
5,364
2,000
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia Mwalimu Mkuu wa shule ya msingi Mkuyuni Mussa Basila (46), kwa kumshambulia kwa fimbo na ngumi hadi kumng'oa jino mwalimu mwenzake Witines Clemence (31) huku chanzo cha ugomvi huo hakijajulikana na uchunguzi wa tukio unaendelea.

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
3,512
2,000
Shetani aliyeko moro yuko active utadhani Bustani ya Edeni ilikuwa hapo.

Juzi tu wametoka kubebena mishaki ya dogi msamvu. Sijawahi kusikia walimu wanamatukio ya hovyo hivyo
 
Kalunya

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
3,783
2,000
Mwalimu alitaka ndogo

Siku hizi watu wengi hawataki mbele tena, Wapo bize na ndogo

Ukiona Mwanaume mtu mzima anaamua kumtandika mwanamke mara nyingi ni mambo ya mapenzi

Wazee wanataka mambo makubwa Halafu kutoa pesa hawataki,

Hakuna mwanamke wa bure miaka hii, Wanawake wanawaza pesa tu

Ukitaka cha bure labda umpende mbuzi au kondoo

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
Hata mbuzi ugharamiwa
 
LOTH HEMA

JF-Expert Member
Dec 6, 2015
5,957
2,000
Hana maadili ya kazi. Ingekuwa mimi tungetwangana hadi tufukuzwe kazi ili kulinda heshima yangu kwa walimu wenzangu na wanafunzi kwa ujumla
 
Ndumbayeye

JF-Expert Member
Jan 31, 2009
6,926
2,000
Mwalimu alitaka ndogo

Siku hizi watu wengi hawataki mbele tena, Wapo bize na ndogo

Ukiona Mwanaume mtu mzima anaamua kumtandika mwanamke mara nyingi ni mambo ya mapenzi

Wazee wanataka mambo makubwa Halafu kutoa pesa hawataki,

Hakuna mwanamke wa bure miaka hii, Wanawake wanawaza pesa tu

Ukitaka cha bure labda umpende mbuzi au kondoo

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
mambo ya ndogo yamefikaje hadharani? acha kuhororoja!
 
Rene Jr.

JF-Expert Member
Jan 31, 2014
3,680
2,000
Mwalimu alitaka ndogo

Siku hizi watu wengi hawataki mbele tena, Wapo bize na ndogo

Ukiona Mwanaume mtu mzima anaamua kumtandika mwanamke mara nyingi ni mambo ya mapenzi

Wazee wanataka mambo makubwa Halafu kutoa pesa hawataki,

Hakuna mwanamke wa bure miaka hii, Wanawake wanawaza pesa tu

Ukitaka cha bure labda umpende mbuzi au kondoo

Sent from my INE-LX2 using JamiiForums mobile app
Ni kweli wazee wanataka mambo makubwa wanatoe pesa ndogo?
 
Toxic Concotion

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
2,894
2,000
Hedi ticha katuma sana na ya kutolea lakni ticha papuchi hatoi. Akaona isiwe tabu knuckles zihusike tu.
 
Shadow7

JF-Expert Member
Sep 28, 2020
7,864
2,000
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mkuyuni, Mussa Basila(46) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kumpiga hadi kumng’oa jino mwalimu Witnes Clemence(31)

Basila amedaiwa kumshambulia Witness kwa fimbo na ngumi hadi kumjeruhi. Chanzo cha ugomvi wao hakijajulikana

Kamanda wa Polisi mkoani Morogoro Fortunatus Musilim amesema Witnes ametibiwa na uchunguzi unaendelea ili kumfikisha mahakamani mtuhumiwa
Aisee!
 
kamdudu

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
1,182
2,000
sasa uchunguzi wa nini hapo ?

hapo alikua anataka mzigo demu akazingua ikabidi ang'olewe jino ili akili imkae sawa
 
Ss Jr

JF-Expert Member
Jan 15, 2018
539
500
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Mkuyuni Morogoro vijiji Mussa Hasira Kwa Tuhuma za kumpiga kumng’oa jino la juu Mwalimu mwezake Witnes Makoti, huku chanzo kikiwa bado hakijafahamika.

Kamanda wa polisi Mkoa Morogoro, Fortunatus Muslimu amethibitisha kushikiliwa Kwa mtuhumiwa huyo huku akisema Kuwa tukio hilo limetokea Oktoba 15 mwaka huu shuleni kwa kutumia fimbo ngumi na kumshambulia sehemu mbalimbali za mwili.

Majeruhi baada ya kupata shambulio Hilo amepatiwa matibabu katika kituo Cha Afya mkuyuni na sasa anaendelea vizuri.
 
reymage

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,611
2,000
Hao waseme ukweli kua walikua mtu na mpenzi wake,wameachana au bidada kapata sponsa wa kueleweka kamtema head ticha,ndo shida ilipoanza but from nowhere tu si rahisi ampige tuu,hizi mambo twazijua sana!ishatokea mtwara mjini mwalimu mkuu na mwalimu wa kawaida walikua wapenzi wakaona ,walivoachana ilikua tafrani mpk mmoja alihamishwa!!!vurugu mpk darasani!
Sasa huo ni wivu wa kimapenzi tu hakuna lingine!
Alichokosea mkuu kumpiga akiwa kazini mpenzi wake!
 
Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Sep 10, 2017
10,498
2,000
Hao waseme ukweli kua walikua mtu na mpenzi wake,wameachana au bidada kapata sponsa wa kueleweka kamtema head ticha,ndo shida ilipoanza but from nowhere tu si rahisi ampige tuu,hizi mambo twazijua sana!ishatokea mtwara mjini mwalimu mkuu na mwalimu wa kawaida walikua wapenzi wakaona ,walivoachana ilikua tafrani mpk mmoja alihamishwa!!!vurugu mpk darasani!
Sasa huo ni wivu wa kimapenzi tu hakuna lingine!
Alichokosea mkuu kumpiga akiwa kazini mpenzi wake!
Siku zote mapenzi kazini hua na changamoto za kila aina. Hii ni mojawapo ya athari zake kama kweli hisia zako kua hao ni wapenzi zitakua za kweli reymage
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom