MOROGORO: Moto wateketeza kiwanda cha makochi na gari

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,507
Moto wateketeza kiwanda kidogo cha kutengeneza makochi pamoja na gari moja katika eneo la mji mpya, barabara kuu ya kuelekea Msamvu Morogoro.
 
Moto wateketeza kiwanda kidogo cha kutengeneza makochi pamoja na gari moja katika eneo la mji mpya, barabara kuu ya kuelekea Msamvu Morogoro.

Duh wewe Donatila ni mwandishi wa habari wa kujitegemea.?
Hukosagi habari zisizopungua 10 kwa siku hapa jf.
 
Back
Top Bottom