Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,172
Kituo cha televisheni cha ITV kimeripoti fomu ya Uraisi iliyokuwa itumwe makao makuu haipiti kwenye fax machine na baadaye imegundulika siyo ile ambayo ni rasmi na hivyo imebadilishwa na juhudi zinafanyika kuelewa sababu na chanzo cha fomu hiyo kubadilishwa.................na jinsi matokeo ya Uraisi yanavyokuja kinyume cha matarajio yetu hofu ya kuwa fomu za mgombea uraisi zinachakachuliwa majimbo yote zinazidi kuongezeka na ushindi wa JK unaanza kutiliwa mashakani kuwa siyo kwa ridhaa ya wapigakura.ila ni wa nguvu ya dola....................kama hizi hisia ni kweli basi chaguzi hii haikuwa ya huru wala ya haki.................