MOROGORO: Migogoro ya wafugaji na wakulima mpaka lini?

manock

Member
Nov 7, 2016
97
37
Nashindwa kuelewa hili tatzo tokea nko darasa la tano mwaka 2004 nasikia migogoro ya wafugaji na wakulima lakini kabla sijaenda mbali nini maana ya Morogoro yawezekana hili tatizo lilkuepo tokea enzi hizo ndo maana ikaitwa Morogoro au?

Maoni yangu ni hayo nadhani wafugaji ndio wanawafuata wakulima kwa sababu nilikuwa mfugaji najua na mkulima hana sauti kama amelima nusu eka wakati Mfugaji ana mifugo buku huoni kuna tofauti hata kama mkulima akikuta mifugo shambani akapeleka kesi mahakani hakieleweki.

Sasa ushauri wangu kwa Morogoro, itenge sehemu ya wafugaji hata kama ni porini waende na sehemu ya wakulima ijulikane endapo itakamatwa mifugo inapelekwa ofisi ya Kijiji /Kata, wenye mifugo wapelekwe mahamani, wafugaji wapigwe faini kali halafu pawe na kikosi kazi cha kufanya doria kila eneo husika, nadhani tutapunguza tatizo hili kama si kulimaliza kabisa.
 
Back
Top Bottom