Morogoro: Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali(CHADEMA) akamatwa na Polisi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
15895009_1241229619318491_4881090138939120447_n.jpg

Polisi wamemkamata mbunge wa jimbo la Kilombero, Mh. Peter Lijualikali, jioni ya leo, alhamis, 28/09/2017, baada ya kumaliza kikao cha ndani cha chama mjini Malinyi Ulanga.

Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali na viongozi watatu wa CHADEMA, wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kufanya mkusanyiko usio halali.
 
Inabidi huko polisi wakate kula chakula cha humo na wasikubali kukaa selo za peke yao
 
Inabidi huko polisi wakate kula chakula cha humo na wasikubali kukaa selo za peke yao
 
Sababu mnakua mnazijua, ila mnaleta habari nusunusu kutafuta huruma.
Msipoacha bangi mtaishia custody tu
Bangi na kumbambikia kesi vina uhusiano gani? Kwa sasa wabunge wa chadema hata wakipita wakapiga honi Jirani na CCM wanabambikiwa kesi ya Uchochezi, Polisiccm wanawadhalilisha wabunge wa chadema lazima washitakiwe kwenye mahakama ya uhalifu wa kimataifa The Hague.
 
Back
Top Bottom