Morogoro: Lori lagonga Treni, mmoja apoteza maisha na wengine 32 Wajeruhiwa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,806
11,968
Mtu mmoja amefariki dunia na wengine 32 kujeruhiwa kufuatia ajali ya Treni iliyotolewa leo Kilosa mkoani Morogoro baada ya Lori kugonga treni hiyo. Kamanda wa Jeshi la zimamoto Mkoa wa Morogoro, Goodluck Zelote amethibitisha.

20210722_172007.jpg
20210722_172027.jpg
20210722_172036.jpg
20210722_172039.jpg
20210722_172041.jpg

=====

IMG-20210722-WA0029.jpg
 
Poleni wahanga

Ni kama kichwa na behewa moja ndiyo vimetoka kwenye reli, ila teknolojia ya treni ni ya aina yake, kinachoanguka ndicho kinatoka kwenye reli kisichoanguka kinabaki wima
 
Pasi na kuacha kuwapa pole wahanga wenzetu, nisiache pia kutoa angalizo:

"Hizi zitakuwa zile balaa tunazochuma bila sababu kwa kutotendeana haki. Binadamu tumekuwa waovu kuliko hata shweitani."

Tumewekeza zaidi kwenye mawasha washa badala ya kuwekeza kwenye salama za watu kunakohitajika na wala hatujishangai.

Hiiiiii bagosha!
 
TRC mnashindwa nini kuweka vizuizi kwenye crossways ili kuondoa hasara hizi, tumekuwa tunashuhudia ajali za namna hii tangu enzi na enzi, mnashindwa nini kujifunza toka nchi zingine, mnaweza kuweka automated gates kwenye mapishano hayo na mkaokoa hundreds of people's lives
 
Duh! 'Crossing' ❌ ni eneo hatarishi sana. Mbaya zaidi unakuta dereva wa gari ana haraka, halafu na hilo dude unakuta limechanganya!

Pole nyingi kwa wafiwa na majeruhi. Mamlaka ziendelee kuchukua tahadhari ili kuzuia ajali kama hizi za uzembe kuendelea kutokea.
 
TRC mnashindwa nini kuweka vizuizi kwenye crossways ili kuondoa hasara hizi, tumekuwa tunashuhudia ajali za namna hii tangu enzi na enzi, mnashindwa nini kujifunza toka nchi zingine, mnaweza kuweka automated gates kwenye mapishano hayo na mkaokoa hundreds of people's lives
Shirika halina hizo fedha za kuweka miundombinu hiyo. Hatuwezi iga chochote kinachofanyika nje wakati hatuna hela, mabehewa mengi mabovu na ya zamani alafu wakimbilie kuweka vizuizi automatic vya umeme.

Mtu nyumba imebomoka kuta unamwambia ajenge uzio wa umeme
 
Miundombinu ya railways crossing ipo kilichotokea ni ajar ya kawaida lory la kwenye mradi wa SGR ndo lilikatisha na kusanabisha iyo ajar
 
Pasi na kuacha kuwapa pole wahanga wenzetu, nisiache pia kutoa angalizo:

"Hizi zitakuwa zile balaa tunazochuma bila sababu kwa kutotendeana haki. Binadamu tumekuwa waovu kuliko hata shweitani."

Tumewekeza zaidi kwenye mawasha washa badala ya kuwekeza kwenye salama za watu kunakohitajika na wala hatujishangai.

Hiiiiii bagosha!
We jamaa sometime unakera kinoma, kila jambo unalichukulia ki siasa tu.
Hata baba yako akifa utailaumu serkali tu, we utakua wale wa vyeti feki tu, huna lolote.
 
Back
Top Bottom