Morogoro: Katibu Mkuu CCM atembelea mradi wa treni ya mwendokasi kipande cha stesheni ya Kilosa - Dar es Salaam

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
664
829
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021.

Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo kasi(SGR) kipande cha stesheni ya Morogoro Kilosa - Dar es Salaam

#KaziInaendelea
#ChamaImaraSerikaliImara

IMG_20210810_130423_936.jpg
 
We need visionary leaders in Africa...viongozi ambao wanajua hawatakuwepo duniani miaka 50 ijayo na bado wana uzalendo wa kujenga mataifa yao. Kuondoa ujinga ujinga serikalini. Serikali inatakiwa ku recruit the best and the smartest, hata vyama vya siasa...sio watu wajinga wajinga wanaojua kuroga ndio wanaingia kwenye politics...garbage in garbage out...

Without that maisha ya mwafrika miaka 50 ijayo yatakuwa mabaya sana. Tujifunze nchi kama South korea na Singapore walivyofanya...hawa masikini wanaoongezeka ni threat kwa national security..tuangalie tu kilichotokea kwa Zuma. Joblessness will destroy our country in the very near future.

Sababu tunaongezeka kuzidi ukuaji wa uchumi..miji yetu inajengwa holela. Mtu mweusi hajui kuishi na mazingira. Miji yetu ni kama imejengwa katikati ya jangwa...anaebisha atembee kidogo, sio mbali aende tu hapo cape town aone nini maana ya kuishi kwenye city.
 
Bado natafakali kauli ya ANAUPIGA MWINGI, nikipata jibu naweza kutulia.
 
..ndio maana mradi unachelewa kukamilika.

..kila siku kuna ugeni wakati hilo ni eneo la kazi.

cc Wacha1
Mkuu kama unafuatilia mambo ya construction mahali popote duniani site visits are necessary to make sure that other professionals in the field learn mistakes/good practice from current projects and utilise them or share experiences in future projects. Unaishi dunia ya wapi?

BTW kuchelewa kuanza kwa hiyo treni ni pamoja na changamoto ya Uviko worldwide. Give credit where is due.
 
One of reasons delaying completion of this project, ni tabia ya viongozi kwenda kuzurura huko na kufanya kazi zisimame.
 
We need visionary leaders in Africa...viongozi ambao wanajua hawatakuwepo duniani miaka 50 ijayo na bado wana uzalendo wa kujenga mataifa yao. Kuondoa ujinga ujinga serikalini. Serikali inatakiwa ku recruit the best and the smartest, hata vyama vya siasa...sio watu wajinga wajinga wanaojua kuroga ndio wanaingia kwenye politics...garbage in garbage out...

Without that maisha ya mwafrika miaka 50 ijayo yatakuwa mabaya sana. Tujifunze nchi kama South korea na Singapore walivyofanya...hawa masikini wanaoongezeka ni threat kwa national security..tuangalie tu kilichotokea kwa Zuma. Joblessness will destroy our country in the very near future.

Sababu tunaongezeka kuzidi ukuaji wa uchumi..miji yetu inajengwa holela. Mtu mweusi hajui kuishi na mazingira. Miji yetu ni kama imejengwa katikati ya jangwa...anaebisha atembee kidogo, sio mbali aende tu hapo cape town aone nini maana ya kuishi kwenye city.
Ndugu haya malalamiko yako yamekuwepo tangu miaka ya 60 hadi leo hii. Mtanzania akienda miji ya Ulaya, au Marekani, na wewe hapa leo umetutajia Cape Town, basi akirudi anajilinganisha na kujiona mchovu na mnyonge na hawezi. Anaanza kusifu sifa za ugenini alikotembelea. As if huko ugenini kila kitu kipo mstari.

Kujilinganisha ni umaskini wa akili na inabidi ushughulikiwe mara moja vinginevyo tutakuwa watu wa kulalamika hadi kifo.

Umetaja tutumie Cape Town kama model, Cape Town gani hasa unayoizungumzia? Cape Town ya Waterfront au Cape Town ya Khayelitsha? You see hata sisi hapa kuna maeneo Dar es Salaam yapo vyema sana na kuna maeneo machovu.

Nchi yetu ni nchi yenye historia ya aina yake, watu wa utamaduni wa aina yake, na taswira ya nchi yetu ni reflection ya watu wake.

Kama unataka vitu vizuri jitengenezee vitu vizuri kuanzia nyumbani kwako hadi sehemu zote zinazokuhusu. Kila mtu akifanya kazi yake vizuri akatekeleza wajibu wake kwa ufanisi na ufasaha nchi yetu itapendeza.

Acha kulalamika, acha kujilinganisha, fanya kazi.
 
Do i even need to respond to your brainless comment? Unataja mwenyewe tumepata uhuru toka 60s right? Unaona maendeleo tuliyo nayo yana reflect miaka ya uhuru tuliyo nayo? Wakati unapata uhuru nchi kama Singapore, South Korea zilikuwa masikini wa kutupwa...sasa hapa naongelea suala la urban planning kwa mfano..kwann wanapopima viwanja visiwe environmentally friendly? Lazima nyumba zibanane kama mko kwenye mstari na sahani mnaenda kuchukuwa pilau na nyama?

Kwann usipime viwanja ukaacha space ya miti? Front yard...back yard, space between houses..hilo nalo ni suala la pesa au umasikini wa akili? Angalia mji kama Mwanza watu walivyojenga milimani..miji yetu has no sharp or beauty..hamna sehemu unaenda unasema leo twende park tukatembee kama familia....upgrade your IQ first before rushing to comment.
 
Kwa hiyo unataka kusemaje sasa? Kwamba watu wa Tanzania wageuke na na kuwa na tamaduni za waSouth Korea na waSingapore?

Well, tumechoka na malalamishi, leta solutions. Nchi hii ni maskini kwa sababu watu wake ni maskini basi. Na umaskini wa kwanza ni umaskini wa akili.

Nimekupa solution huitaki. Kila mtanzania akifanya kazi yake kwa ufasaha, kuanzia aliye Ikulu hadi mimi na wewe, nchi yetu itabadilika.

Nchi ni yetu wenyewe, na kuihujumu tunaihujumu sisi wenyewe halafu tuanze kulalamikiana hapa?

Unakumbuka Magufuli alipoingia Ikulu kazi zake za kwanza kwanza zilizowekwa public zilikuwa zipi?

Alitembelea wizara ya fedha akakuta watu wanapiga soga tu wengine hawajafika kazini kabisa.

Akaagiza vyeti vikaguliwe akakuta wenye vyeti feki kibao.

Halafu leo unalalamika kwa nini miji ya bongo iko shaghalabaghala?

Usijilinganishe na usimtafute mchawi. Fanya kazi yako vyema kabisa, na tuendelee kihimizana kufanya vyema kwa ajili yetu, watoto wetu na nchi yetu kwa ujumla.

Nchi itabadilika.
 
Nimekuelewa ila utambue tu nchi hata kama mimi na wewe tutafanya kazi vipi our efforts zitaishia kubadili familia zetu na vizazi na hiyo sio issue ya msingi..Hapa tunaongelea taifa...serikali inayoweka sera za elimu, urban planning policies, inayotengeneza sera, sheria na kuzisimamia..ndio maana nikatolea mfano wa hizo nchi.

Zote hizo zimebadilishwa na watu (extra ordinary smart people) waliokuja na solutions za kutoa nchi zao kwenye umasikini. Just pick one nenda kasome Singapore ilikuwa nchi ya aina gani na nani aliyeleta mabadiliko ya kiuchumi.

Hauwezi tegemea mabadiliko kwenye taifa unapeleka darasa la 7 bungeni. Sahau.
 
Nimekuelewa pia, lakini never underestimate the power of individual initiative, the power of bottom up approach katika kuleta mabadiliko.

Mfano kidogo, kuhusu nyumba na makazi.

Ukitembelea miji karibu yote ya Tanzania kuna mabati ya msauzi yapo kwenye fashion, na kuna ile design ya paa inayoinuliwa hadi mbinguni.

Unadhani zile style na design zimelazimishiwa kutoka juu? No. Ni watu wameanzisha na wengine wameigana na voila! tuna linchi limejaa nyumba za style moja.

Mfano mwingine. Usafi wa miji na mitaa, kutotupa taka kiholela. Magufuli kaja na style ya kusafisha mazingira kwa mikono yake mwenyewe ili awainspire raia anaowaongoza hadi ikawekwa siku moja kila mwezi ya kusafisha mazingira. Ah wapi! Nenda hata kesho mijini ucheki watu wanakula miwa, machungwa, mahindi na kutupa popote maganda. Top down approach doesn't seem to work as efficiently as needed kwa nchi yetu.

Suala la mipango miji ni konki zaidi. Pale jangwani ilikuwa kila mwaka mafuriko yanasomba nyumba kadhaa, serikali inafanya sehemu yake lakini ah wapi, mvua zikitulia watu wanarudi pale pale.

Mtu kama hajakomboka kiakili nchi itapiga mark time muda mrefu sana hata huko mbeleni. Na nafikiri kuna tofauti sana kati ya maeneo makongwe ya miji (wanakokaa wazawa wa asili wa maeneo yale) na maeneo mapya ya miji (ambako walikuta viwanja vilishapimwa).

Mambo mengine yanayofanya miji yetu isionekane imepangwa ni mfumo wetu wa umiliki ardhi. Nchi yetu ina historia ya ujamaa kwamba hata maskini anaweza kumiliki ardhi na kujijengea anavyotaka na anavyoweza. Ulaya na kwingineko ardhi ni mali ya makabaila wachache wanaojenga na kuwauzia au kuwakodisha wengine. Kama tunataka hadi Magomeni pawe kama Masaki na Oysterbay tukubali tu kuwaachia real estate tycoons wapaendeleze kama wawekezaji kwenye real estates. Tutakubali?
 
Back
Top Bottom