Morogoro: Kakakuona atabiri neema. DC awataka wakulima wafuate sheria za kilimo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,000
9,862
Mnyama Kakakuona ameonekana Wami Sokoine, Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro ambapo viongozi wa kimila na kidini walimtumia ili aweze kutabiri hali ya mwaka huu.

Walimuwekea zana za kimila, zana za umeme na vifaa vingine ambapo alipita kati ya unga na maziwa hali iliyoonekana kuwa ishara ya neema kwa mwaka 2021.

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Albinus Mgonya amesema mbali na imani kuwa msimu utakuwa mzuri, amewataka wananchi wazingatie kilimo bora kwa kuzingatia sheria za kilimo.
 
....ambapo viongozi wa kimila na kidini walimtumia ili aweze kutabiri

Viongozi wa kidini nao ha ha ha hawapo sawa hao hao ni wala sadaka tu

Ila mpk leo bado tunamsubiri huyo mnyama kweli
 
Mnyama Kakakuona ameonekana Wami Sokoine, Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro ambapo viongozi wa kimila na kidini walimtumia ili aweze kutabiri hali ya mwaka huu.

Walimuwekea zana za kimila, zana za umeme na vifaa vingine ambapo alipita kati ya unga na maziwa hali iliyoonekana kuwa ishara ya neema kwa mwaka 2021.

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Albinus Mgonya amesema mbali na imani kuwa msimu utakuwa mzuri, amewataka wananchi wazingatie kilimo bora kwa kuzingatia sheria za kilimo.
😊
 
Nchi ya ajabu sana hii, inaongozwa na kakakuona😂🤣😂😲😲
 
Moro kakakuona wengi sana. Niwahi muona hapo hospitali ya mkoa. Wazee wa siku hizi hawana umila wowote, wapigaji tu.
Ni kweli kabisa, tulikuwa site 1 hapo mjini, kwa siku hiyo 1, vijana wakisafisha, tuliona kobe mdogo, nyoka kifutu mkubwa, khanga, na nyoka black mamba...nikasitisha zoezi, wakamwaga mafuta na kupiga moto, wangeendelea labda wangekuta na kakakuona!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Back
Top Bottom