MOROGORO: Jeshi la Polisi leo limeanza doria ambayo inatarajiwa kudumu kwa siku tatu mfululizo mpaka Aprili 27, 2018

Leo ni siku ya maandamano kwa Askari pekee.

Kesho ni zamu ya Mange na watu wake.
 
Mi kwa upande wangu wala sion ajabu maana polisi kila siku wanazunguka mtaani,halikadhalika magari ya jeshi nayo kila siku nayaona yakipita na wanajeshi kwa hiyo kwa mtu kama mim naona sawa wala sion tofauti
 
Hao wakuu wa police wanawachosha tu wa chini yao mapema wangesubiria kesho ili uwanjan wote wawe na nguvu sawa. Kwa hali hii vijana wangiingia road hao police watakuwa wapo hoi sana
 
Bora huyo mwenye cheti cha form 4 anapiga kazi ya kulinda mali za raia 24/7 hrs, kuliko wewe mwenye degree unashinda jf sijui nani hapo mwenye matatizo
humewahi kuwaza kwa mfanya biashara kuwa online muda mwingi ina athiri vp kuuza duka/kibanda/genge lake.

Kama mimi niko online 24/7 wewe unakuwa wapi kuona mimi nashinda kwa line?

umepewa kichwa kufikiria mkuu sio kuwa mzigo kwa miguu yako.

ukiacha jf pia nashinda site za pono
 
Pumbavu hao wezi wa matrilion ndiyo RAIA ????Kama RAIA waungane na waandamanaji
Kesho makamanda tukutane road teh teh! Kuna zana za PT zimekaa story tangia vita ya Soviet hazija fanyiwa test, nadhani kesho ndiyo mda muafaka
 
Hii nguvu wangeitumia kulinda rasilimali za taifa pamoja na usalaama wa raia na mali zao, hakika tungekuwa tunalala milango wazi
 
Back
Top Bottom