Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,646
- 44,228
Kwann alikubali kufanya nae kazi tena?!Mkuu..alisema kuwa aliwahi kucheza pambano na Mthailand ambapo Promota Siraji hakumalizia hela yake mpaka leo ndo maana alikosa imani naye
Kiufupi wanajuana watayamaliza tu ili wanawavuruga mashabiki..!
Asingessini mkataba