Morogoro: Basi la Kampuni ya Shabiby Line lapata ajali ya kupinduka maeneo ya Fulwe

Bahati mbaya tu. Tangu niifahamu kampuni hii ya shabiby na basi zake leo ndio nasikia imepata shida. Wapo makini mno. Silaumu hata kidogo.
Wewe wa juzi. Kuna kipindi Shabiby iliacha njia na kugonga na kuuwa ngombe 47
 
Wewe unadhani huyo mbunge ndio tajiri " mwenyewe"........no huyo ni mrithi baada ya mwenye Shabiby kugongwa na basi lake la Shabiby!
Namfahamu Ahmed Mohamed shabiby,namfahamu toka anaanza kuchipua na kampuni yake mpaka kuja kugombea ubunge wa Gairo,namfahamu marehemu baba yake,Kaka zake wadogo zake,Dada zake,marehemu mkewe,kiufupi naifahamu familia yake.uongo mwingine Leta tu huo mliozoea wa chama chenu.
 
Wewe unadhani huyo mbunge ndio tajiri " mwenyewe"........no huyo ni mrithi baada ya mwenye Shabiby kugongwa na basi lake la Shabiby!
Acha uongo mzee wangu,mzee shabiby hakua mmiliki Ila mwanae Ahmed ndie mmiliki,mzee alipata ajali ingiloli akitokea kitange shamba.ujuaji peleka lumumba pliz
 
Mkuu Dodoma Wadeka ilikuwa ni SHUKRANI siyo CHAMPION

Hili basi lilikuwa linakimbia balaa. Niliwahi kupanda mara moja tu DAR - DOM. Yaani zumetoka Dar 1:00 Asubuhi na zikaingia Dom 6.

Kwa spidi ile niliacha kabisa kupanda
Nadhani hiyo ndo ile ilikua nenda Rudi,jioni iko mjini Tena.
 
Hii ni Speedometer screenshot, Basi linaitwa Ngasere tulikua tunatoka Dodoma kwenda Mpwapwa, angalia hapo kuna kitu inasoma 110km/hr but Kuna wakati alifika 118km/hr.

Ya Shabiby nimeifuta, huyu ilikua last week basi jipya Namba nadhani ni DNX au DRX sikumbuki vyema but na yeye nilirekodi hadi 110km/hr. Tulitoka Ubungo mchana.

Ngoja niangalie kama naweza kupata ya hili Trinity nililopanda SAA hizi hapaView attachment 1258928
Mkuu unatokea mpwapwa?
 
Back
Top Bottom