Morogoro: Basi la Kampuni ya Shabiby Line lapata ajali ya kupinduka maeneo ya Fulwe

Upo sahihi, lakini hata shabiby line wako vizuri sana katika usafirishaji wa abiria kwa siku hizi za karibuni.
Tatizo mabasi yake ni Mchina mtupu.......alijaribu Volvo wakati fulani na wale madereva wanawake akina Jane lakini alichemka!
 
Mungu mwema, majeruhi wapate nafuu upesi. Mimi Niko Mbezi sasa kwenye Trinity, safari ambayo imetuchukua zaidi ya masaa 26 hadi sasa
 
Kweli umewafahamu juzi juzi Kuna moja iliwai kuchinja ilikua unatoka songea to Dar
Dah..Songea ukitaja Shabiby watu wanatetemeka kama sikosei nakumbuka ilikuwa 2002 au 2003 nipo shule ya msingi Msamala Shabiby ilichinja takribani basi zima walionusurika hata kumi hawakufika miongoni mwao rafiki yangu mmoja hadi leo ana makovu mwilini wazazi wake walikwenda na maji nimeshangaa eti nimeenda Dodoma ndio basi zinazoaminika mi mwenyewe mteja wao mkubwa sana kila niendapo Dom.
 
Hii ni Speedometer screenshot, Basi linaitwa Ngasere tulikua tunatoka Dodoma kwenda Mpwapwa, angalia hapo kuna kitu inasoma 110km/hr but Kuna wakati alifika 118km/hr.

Ya Shabiby nimeifuta, huyu ilikua last week basi jipya Namba nadhani ni DNX au DRX sikumbuki vyema but na yeye nilirekodi hadi 110km/hr. Tulitoka Ubungo mchana.

Ngoja niangalie kama naweza kupata ya hili Trinity nililopanda SAA hizi hapa
Screenshot_20191029-170922.jpeg
 
Hii hapa ya Trinity basi, Kuna nyingine sijarekodi. Huyu alifika hadi 95km/hr
Screenshot_20191109-215731.jpeg
 
Basi la Kampuni ya Shabiby Line limepata ajali ya kupinduka leo majira ya mchana Oktoba 9, 2019 maeneo ya Fulwe mkoani Morogoro.

Basi hilo lilikuwa safarini kutoka Jiji la Dodoma kuelekea Jijini Dar es salaam.

Taarifa za awali zinasema hakuna vifo vilivyotokea isipokuwa kuna abiria kadhaa wamejeruhiwa huku chanzo cha ajali kikiwa ni utelezi wa barabara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hivyo kupelekea basi hilo kuacha njia ma kupinduka.

View attachment 1258693
jomba unamaanisha leo.ni tarehe 9 Octoba, kweli au ni meseji ya mwezi uliopita hii ni Novemba jomba
 
Hii ni Speedometer screenshot, Basi linaitwa Ngasere tulikua tunatoka Dodoma kwenda Mpwapwa, angalia hapo kuna kitu inasoma 110km/hr but Kuna wakati alifika 118km/hr.

Ya Shabiby nimeifuta, huyu ilikua last week basi jipya Namba nadhani ni DNX au DRX sikumbuki vyema but na yeye nilirekodi hadi 110km/hr. Tulitoka Ubungo mchana.

Ngoja niangalie kama naweza kupata ya hili Trinity nililopanda SAA hizi hapaView attachment 1258928
Ngasere ni Was*nge sana ipo siku na yeye tutaongea kitu kwa jinsi walivyo.
 
Nimesafiri safari zaidi ya 50 sijawahi kusikia kwa mabasi ya shabiby.. pole kwa majerui
 
Hii ni Speedometer screenshot, Basi linaitwa Ngasere tulikua tunatoka Dodoma kwenda Mpwapwa, angalia hapo kuna kitu inasoma 110km/hr but Kuna wakati alifika 118km/hr.

Ya Shabiby nimeifuta, huyu ilikua last week basi jipya Namba nadhani ni DNX au DRX sikumbuki vyema but na yeye nilirekodi hadi 110km/hr. Tulitoka Ubungo mchana.

Ngoja niangalie kama naweza kupata ya hili Trinity nililopanda SAA hizi hapaView attachment 1258928
Hii ni App gani mkuu?
 
Poleni sana waliokumbwa na zali la ajali. Ni bus la saa ngapi? Kuna ndugu yangu alitoka Dodoma leo ila bus alilo book la kuondoka saa 3:30 akakuta wameuza ticket yake. Bahati nzuri akatokea konda wa bus la 2:30 akampa seat. Amefika salama ilaMorogoro na Pwani mvua kubwa. Pengine Mungu alimnusuru na hiyo ajali.
 
Dodoma Wadeka

Dom - Dar - Dom!
Mkuu Dodoma Wadeka ilikuwa ni SHUKRANI siyo CHAMPION

Hili basi lilikuwa linakimbia balaa. Niliwahi kupanda mara moja tu DAR - DOM. Yaani zumetoka Dar 1:00 Asubuhi na zikaingia Dom 6.

Kwa spidi ile niliacha kabisa kupanda
 
Back
Top Bottom