Morogoro: Askari ajiua kwa uzembe wa uongozi wa jeshi la polisi

Kisiwa cha amani Tanzania...Mungu tuonee huruma sisi waja wako, tuliambiwa kuwa kuchagua CCM ni kuchagua kifo tukadharau, sasa tunavuna tuliyopanda. Mungu tusamehe!!
 
Miguu imejikunja kutokana na kugusa chini na kwa njia hiyo mtu huwezi kufa hata wenzetu wahehe wanalijua hilo

Kifo hakina huruma Remmy aliimba enzi za uhai wake. Kwasababu kifo hakina huruma, sishangai kufa kwa huyu askari huku akiwa amepiga magoti.
 
Miguu imejikunja kutokana na kugusa chini na kwa njia hiyo mtu huwezi kufa hata wenzetu wahehe wanalijua hilo

Kifo hakina huruma Remmy aliimba enzi za uhai wake. Kwasababu kifo hakina huruma, sishangai kufa kwa huyu askari huku akiwa amekunja magoti.
 
A hero has been killed coz of his royal heart. RIP bro......hawa watalipa tu kilichotokea in days to come.
 
Kifo hakina huruma Remmy aliimba enzi za uhai wake. Kwasababu kifo hakina huruma, sishangai kufa kwa huyu askari huku akiwa amepiga magoti.

Hyo haikuwa tafsiri...ya Dr Remmy....huwezi kujikunza miguu imekunjika? Alafu pemben kama kuna damu vile...na mavumbi ya kutosha..
 
Unajua damu ya mtu haipotei bure,na mungu huwa hapendi watu wake waangamizwe,hii inaonyesha jinsi gani hao jamaa wameacha nafasi kwa mtu yeyote mwenye akili kujua huyu jamaa hajajinyonga,haiwezekani nguo ichafuke kwa vumbi inamaana kuna kilichotokea kwanza kabla ya hapo.Na kwanini afe akiwa hajaning'inia mtini?Ila kwa nchi yetu litapita tu,ingekuwa kwa wenzetu ingechukua hata miaka kumi ila ukweli ungejulikana na wahusika wangelipia mabaya yao.

Hata kwa haya wanayofanya hivi sasa hawa akina Kova, Rama, Msangi na wenzao yatajulikana tu, tuombeane uzima ili tufike huko ambako tutajua Sterling wa picha zote hizi ni nani, Meneja, Producer etc, ila tuwe wavumilivu na waangalifu zaidi na nyendo zetu kwani kadiri wanavyozidi kuanikwa basi na wao wanazidi kutengeneza usugu fulani wa matendo yao kwani wanajua kuwa hawawezi sameheka duniani na mbinguni
 
Huyu kamanda ninamfahamu, aliingia katika jeshi la polisi kama mcheza mpira na baadae akaacha mpira baada ya kiwango kushuka. Alichanganyikiwa kidogo baada ya kufiwa na mkewe aliekuwa anampenda sana. Alichanganyikiwa mpaka mwajiri wake akaamua kumpumzisha kidogo ili aweze kupona na kurudi kazini. Baadae aliokoka na kuanza kuelezea maovu yao (yeye na askari wenzake) waliyoyafanya kabla ya kuokoka. Viongozi wake hawakumuamini na kudhani kwamba bado amechanganyikiwa, baadae mambo yalivyozidi kuanikwa ndo akaanza kueleza mambo hayo kwa njia ya barua na kuzungumza na waandishi wa habari. Ninaamini kwamba alichoeleza kwenye barua yake hiyo ni kweli.
 
Kwa uelewa wangu, mtu akijinyonga lazima mambo haya mawili miongoni mwa mengine lazima yawepo, kwanza, lazima ajisaidie (kubwa au ndogo) lakini lazima, pili, lazima kuwe na alama za kucha wakati aki-struggle kujinasua (kumbuka kutoa uhai wako mwenyewe si issue ndogo) pia haiwezekani kitanzi kikawa loose hivyo...mie sijui bhana
 
Napenda kukubaliana na wewe,pia kuna yafuatayo ukiangalia kwa makini:
[h=3]Hanging[/h]
While accidental hanging is rare, and homicidal hanging is even rarer, hanging is the third most common form of suicide and accounts for 16% of all male, and 13% of all female suicides. Most people who commit suicide by hanging, jump from a chair or a ladder, choking to death slowly. Rarely is the neck broken. In order to break a neck, a drop of six feet or more is required, which rarely happens except in execution hanging.
Hanging, whether done with rope, an electrical cord or a belt, always leaves an inverted V bruise, and is easy to tell from ligature strangulation (murder), which leaves a straight-line bruise. Hanging compresses the veins, but arterial blood flow continues, causing small bleeding sites on the lips, inside the mouth and on the eyelids. As with ligature strangulation, the face and neck are congested with blood and become dark red.
Ligature strangulations are almost always homicide and the victims are almost always women. Often the murderer uses more force than necessary to kill the victim, causing deep bruises and abrasions around the neck. The victim will usually struggle, which results in damage to both the interior and exterior structures of the neck and throat. Accidental strangulation is rare, but does happen, usually when a tie or a scarf gets caught in power machinery. Consider causing a murder that looks like an accident by catching a woman's scarf into machine gears. Or hanging a man by pushing him off a chair and making it look like suicide? The police would have a very tough time proving it wasn't.
.1.Ukiangalia angle of ligature,kuna shaka kidogo,sio common sana kwa location of knot of the hanging rope kuwa pale ilipo i.e a marking slated up towards the back of the neck would more likely by a ligature strangulation than a marking that goes perfectly around the neck with no slant..
2.Other marks of sucide as opposed to homicide seems not to be there e.g urine and feaces evacuation,both feets pointing to the ground etc
The foresinc expert will also tell if hanging is suicide or homocide by examining the hyoid bone,if broken it often means the person has been murdered by manual choking.I dont know if in Tanzania police they differentiate between homicide detectives and criminal investigators.
 
Kwa haraka haraka bila kufanya uchunguzi wa kina utagundua kwamba jamaa kanyongwa sio kama kajinyonga.Hebu angalia sehemu ilipo fungwa kamba, wauwaji walishindwa kutambua kwamba mtu akinyonga miguu ikigusa chini hawezi kufa. Mara nyingi polisi ikiusishwa na genge la mafia.

Kwa matukio kama haya kweli wananchi watakua na imani jeshi la polisi? IGP, RPC, kwa nchi zenye uwadilifu ilibidi kustep down ila kwa vile tz hicho akiwezekani. Waziri naye katumiwa fax baada ya kuunda tume huru, anaunda tume ya changa la macho. Hiyo ndiyo tasisi ya usalama wa raia kwa staili hii tutegemee nini kutoka vyombo vya usalama?
 
Huyu kamanda ninamfahamu, aliingia katika jeshi la polisi kama mcheza mpira na baadae akaacha mpira baada ya kiwango kushuka. Alichanganyikiwa kidogo baada ya kufiwa na mkewe aliekuwa anampenda sana. Alichanganyikiwa mpaka mwajiri wake akaamua kumpumzisha kidogo ili aweze kupona na kurudi kazini. Baadae aliokoka na kuanza kuelezea maovu yao (yeye na askari wenzake) waliyoyafanya kabla ya kuokoka. Viongozi wake hawakumuamini na kudhani kwamba bado amechanganyikiwa, baadae mambo yalivyozidi kuanikwa ndo akaanza kueleza mambo hayo kwa njia ya barua na kuzungumza na waandishi wa habari. Ninaamini kwamba alichoeleza kwenye barua yake hiyo ni kweli.

My normal sense I support your statements since there is Truth between dots!! Ila Tenda mema , Tender Mabaya but no one have the right to Kill!! Ila kila auae Kipimo cha malipizi ni Hapa hapa duniani!! Angalia akina Hawa Ngulume (DC Msataafu) walifanya Udhalimu Mkubwa Huko Mbarali - Mbeya Yupo wapi sasa? Pia hata kwa Huyu afande sio Kuwa alikuwa Msafi sana ila Ndio Hivyo tena! Mambo yamemwendea Mrama!!
 
Hakuna kitu chochote kinachosimama kwenye misingi ya usanii na uongo. Kama tunaendelea kufanya hivi tutaumbuka siku sio nyingi maana tutakuwa tunaharibu left and right.
 
Hapa IGP na waziri wa mambo wa ndani wanahusika vipi? Kitendo cha mtu kujinyonga kinasikitisha sana hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia kama mtu ametaka mwenyewe kuidhuru nafsi yake; sababu zipo nyingi ni udhaifu wetu binadamu kushindwa kukabiliana na matatizo yetu sioni sababu ya kumhusisha IGP na waziri wa mambo ya ndani na tukio hili utakuwa ni ufinyu wa fikra.

Chama
Gongo la mboto DSM

Ila kweli, kama pamoja na maelezo yote aloyatoa jamaa hujaona uzembe mkubwa wa IGP na waziri huu ni "ufinyu wa fikra" Hebu soma tena halafu utumie na akili utaona nani ni mfinyu wa fikra!!!
 
Enzi za Mwanahalisi Give them one week next tolea investigative report kuhusu tukio hili tungelipata kwa Kina zaidi.
 
Igp fanya kazi kuzingatia kiapo chako ulichoapa mbele ya amiri jeshi mkuu na rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania pamoja na kupewa u - igp kwa ushemeji kaa macho
 
Kulingana na hiyo picha, kajiuwa kweli au kauwawa alafu akatundikwa! Acha wafanye kazi ya upelelezi ..
 
AJIYONGA1.JPG


AJIYONGA2.JPG


attachment.php


Source: Global Publishers

Sijapata kozi ya upelelezi popote lakini katika hali hii siogopi kusema this isnt suicide, this is murder.
Huwezi jinyonga halafu miguu ijikunje, uwe karibu na benchi ambalo linaza kukupa support na kitanzi kikiwa kimelegea .
Acheni tu wawaue, Iko siku.
I HATE U MURDERERS!!
 
Back
Top Bottom