Morogoro: Askari ajiua kwa uzembe wa uongozi wa jeshi la polisi

Askari Polisi aliyemshutum ACP Msangi na mshutumiwa namba moja wa utesaji na vipigo vya Olimboka kakutwa kanyongwa na kamba na kuning'ing'ia katika daraja la shani mjini Morogoro

Source Radio One Habari na Matukio
 
Wewe uko ndani ya jeshi la polisi na bila shaka umetumwa kuja kuwa pre-empt wananchi waliokosa imani na jeshi hili la polisi.
Bado ni kitendawili si sahihi kulihusisha jeshi zima inawezekana marehemu kajiua mwenyewe au ameuliwa, tuviachie vyombo vya usalama vifanye uchunguzi wake.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Tanzania kisiwa cha amani chini ya serikali sikivu na pendwa ya CCM.
 
Hapa IGP na waziri wa mambo wa ndani wanahusika vipi? Kitendo cha mtu kujinyonga kinasikitisha sana hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia kama mtu ametaka mwenyewe kuidhuru nafsi yake; sababu zipo nyingi ni udhaifu wetu binadamu kushindwa kukabiliana na matatizo yetu sioni sababu ya kumhusisha IGP na waziri wa mambo ya ndani na tukio hili utakuwa ni ufinyu wa fikra.

Chama
Gongo la mboto DSM

Nakataa kauwawa,pale katundikwa
 
Hata hujui unasema nini
 
kwa mujibu wa habari hii,kuna connection kati ya kifo chake na kuwalipua polisi wenzie,it seems hajajinyonga,usijitie KIPOFU CHAMA WA GOMBS
 
Sasa hicho kiti pembeni cha nini? Jamaa akipanda kwenye kiti anapita mpaka kamba ilipofungwa..mwaka huu,Damu zisizo na hatia zitaigharimu nchi hii.
 
Nami nimesikia gazetini tukio la askari kunyongwa lakini sijasikia connection na Msangi wa Dr Ulimboka. Lakini kuna haja ya mtoa mada kueleza vizuri
 
jamani,mbona anavumbi mwili mzima na damu? mtu wa kujinyonga huwa anaanza kujimwagia vumbi kwanza? mbona polisi mna tuaminisha uongo?
 
Hapa IGP na waziri wa mambo wa ndani wanahusika vipi? Kitendo cha mtu kujinyonga kinasikitisha sana hakuna mtu mwenye uwezo wa kuzuia kama mtu ametaka mwenyewe kuidhuru nafsi yake; sababu zipo nyingi ni udhaifu wetu binadamu kushindwa kukabiliana na matatizo yetu sioni sababu ya kumhusisha IGP na waziri wa mambo ya ndani na tukio hili utakuwa ni ufinyu wa fikra.

Chama
Gongo la mboto DSM
You might think that you are safe from where you stand but be assured that when the rules applied are of "the Jungle" No one is safe.
 
Ushabiki na uchochezi zaidi kuliko facts kwa wasomaji!
Nikiingia zamu naifuta hii...Seeenzi kabisa!
 
Bado ni kitendawili si sahihi kulihusisha jeshi zima inawezekana marehemu kajiua mwenyewe au ameuliwa, tuviachie vyombo vya usalama vifanye uchunguzi wake.

Chama
Gongo la mboto DSM
tumekusikia SABASITA
 
Hayahayaaaaaaa wale wa magumashi wale wa magumashi,katika sakata jingine la Msangi,askari aliyemlipua amekutwa AMENYONGWA,Msangi,IGP na SIDE MWEMA mmejivua nguo,Sasa hv hakuna majasusi kabisa ndani ya jeshi,hicho kiti ndio katumia kujinyongea? Hahaaaaa yani alivyopanda na kukipiga pembeni miguu itafika chini na hata kamba haitomgusa shingo hata kidogo!! Haya Tusubiri muvi nzima maana washasema kwamba alikua ana matatizo ya akili wakati niliwahi kumsikia akihojiwa live(Times FM) na aliongoe wazi kwamba yeye sio chizi kabisa!
 
Back
Top Bottom