Morocco to surrender road foleni kubwa sana

Wa
wajenge flyover pale Morrocco junction na pale Selander bridge, hilo daraja la baharini waachane nalo
Hahaha lile ni kivutio na watumiaji ni wale wa O'bey, masaki sasa hiyo fly over Morocco ita kaaje na itamwaga wapi.
Kwani ukipita juu foleni inapungua?! Any way wakienda Dodoma tutapumua tu, wao ndio hufunga njia na zile ambulance zao, huwa najiuliza kwa nini wasitumie helikopter watuachie barabara ili nasisi tuwe tunawahi.
 
Back
Top Bottom