Morning glory leaves your eyes sexy the whole day...

Nakumbuka nilivokuwa nachoshwa nakuwa na raha tu kila gari nayokutana nayo nawapungia mkono, nakumbuka mengi Kaizer

nilikuwa najiuliza huyu lady ananipungia mkono kwen mataa ya morocco ni nani kumbe ulikuwa wewe Gaga after 'morning Glory....mmmh..haya

Sweet Asha D apo juu keshakwambia we mkare...

On a serious note kama hukuingia kwen ndoa kwa 'kulazimisha' you will be enjoying every time.....you know what I mean...
 
sasa hii ndo challenge.mwenzangu,unakuwa unacheka cheka na ku-smile!Inabidi baba nanilii afanye followup lunch la sivyo kila mkaka atataka akutoe lunch siku hiyo,mphewww!
We acha tu ukifika kazini siku hiyo kila mtu unamsalimia kwa shangwe, utasikia G leo mbona uso wako una glow hivo lol!!!
 
sasa hii ndo challenge.mwenzangu,unakuwa unacheka cheka na ku-smile!Inabidi baba nanilii afanye followup lunch la sivyo kila mkaka atataka akutoe lunch siku hiyo,mphewww!

Na ubaya wake ni nini King'asti.....:happy:
 
@Kigogo nawe minini tena iyo bwana..kila kitu kinawekwa sawa hebu fafanua labda...
 
nilikuwa najiuliza huyu lady ananipungia mkono kwen mataa ya morocco ni nani kumbe ulikuwa wewe Gaga after 'morning Glory....mmmh..haya

Sweet Asha D apo juu keshakwambia we mkare...

On a serious note kama hukuingia kwen ndoa kwa 'kulazimisha' you will be enjoying every time.....you know what I mean...

Si nilikuona? unajua wanaJF mie huwa nawajua kwenye foleni hata hawana haraka wako na simu zao tu ukiuliza nini eti VIA MOBILE
 
Hakika mmenifanya nicheke sana jamani.. Its health anyway...
Asha nways dont want to go deep but..but the ups and down kwenye marriage zipo.. But mkipata chakula cha uzima u move forwad Cjui Mungu aliweka nn hapo lol... Sometime inabid nikubali ndoa ni that chakula ni kiungo kikubwa sana...
 
Asha sikuwahi kuregret kuolewa hata siku moja mwenzangu rahaa nyingi kuliko maudhi na nayaface yote kwa uwezo wake muumba.mbona ume edit?

Nilitaka nijue because there is a lot i feel i can tel from your marriage and you as an individual (in fact swali lile lingefanya vizuri kwenye PM, but wazo lilikuja baadae thats why nili edit)... Hope you dont mind... Mpenzi 10 years in marriage and you can still smile katika foleni kutokana na satisification ulopata... You are one LUCKY gal and I know from your proud comments that you appreciate that... which is wonderful...what mo' could a woman want??? Honey best of luck and regards to that son of yours....
 
Hakika mmenifanya nicheke sana jamani.. Its health anyway...
Asha nways dont want to go deep but..but the ups and down kwenye marriage zipo.. But mkipata chakula cha uzima u move forwad Cjui Mungu aliweka nn hapo lol... Sometime inabid nikubali ndoa ni that chakula ni kiungo kikubwa sana...

LOL...I know... nimekupata kabisaaa!!! Hayo maelezo yameniridhisha kujua ulikua unawaza nini.....
 
Nilitaka nijue because there is a lot i feel i can tel from your marriage and you as an individual (in fact swali lile lingefanya vizuri kwenye PM, but wazo lilikuja baadae thats why nili edit)... Hope you dont mind... Mpenzi 10 years in marriage and you can still smile katika foleni kutokana na satisification ulopata... You are one LUCKY gal and I know from your proud comments that you appreciate that... which is wonderful...what mo' could a woman want??? Honey best of luck and regards to that son of yours....
karibu nafikisha 17yrs mpenzi not 10 ups and down kibao ila pia raha nazo zipo siwezi kataa, maisha yanaendelea tu
 
Am genuinely deeply impressed.... You are going to be my marriage mentor whether you like it or not!!!!
 
ndo maana mnatusumbua na minanihii kwenye daladala kumbe ndo mmetoka kupata hiyo mi glory morningi sijui ...aaaagh nyie bana

hahahahaha! Kwahyo tukishafanya magolori morning hakuna haja ya kunywa chai sijui.
 
Husninyo chai itategemea na wingi/muda consumed kwa chakula cha uzima... Ila hata usipoweka wanja jicho linakuwa na nuru etc.. Then in addition the whole day inakuwa stress free..lol then cku inakuwa na baraka pia.. Hapa ofcourse kama lilikuwa tendo halali si la kuiba.. Esp kwa baraka.. Sina hakika na ayo mengine... Hahahaaa
 
mamii ulisema ni chakula cha uzima. Nikafiri tutashiba tusave budget ya chai. Lol!
Penzi langu lenyewe la kuibia jamani!
Mmh! Sijui vitafaa.
Nashukuru kwa maujuzi na maujanja.
 
Husninyo basi kabla ya kuiba mlifanyie maombi liwe halali, alafu mambo yetu ya macho palepale ila sasa cjui kama la kuiba utalipata muda wetu ule muafaka labda mara mojamoja....
 
mamii ulisema ni chakula cha uzima. Nikafiri tutashiba tusave budget ya chai. Lol!
Penzi langu lenyewe la kuibia jamani!
Mmh! Sijui vitafaa.
Nashukuru kwa maujuzi na maujanja.
Husninyo uko na mume wa mtu wewe???
haya yote maisha, mbanano
 
Back
Top Bottom