Morgan Heritage ft Diamond &Stonebwoy,ngoma Kali sana hii

Wenzenu wimbo Ndo namba 29 marekani Uko iTunes.This is Diamond Platnumz#
42966453_178107773039468_4362183058751251245_n.jpg
 
tunajisahaulisha kuwa kashirikishwa,hivi toka lini wabongo tumeanza kutaka nyimbo za ujumbe?
roho mbaya ni mbaya tu,toka lini wajamaica wakaimba ujumbe wakuelimisha.
go chibu, go diamond.
Kwahiyo nyimbo za Bob Marley Zilikuwa sio za kuelimisha ?? Au Bob alikuwa Mkenya ?
 
tunajisahaulisha kuwa kashirikishwa,hivi toka lini wabongo tumeanza kutaka nyimbo za ujumbe?
roho mbaya ni mbaya tu,toka lini wajamaica wakaimba ujumbe wakuelimisha.
go chibu, go diamond.
Jamaica ndo inatokea reggae na dancehall,labda useme huwa hauelewi kinachoimbwa ila hakuna watu wanaongoza kwa kuimba nyimbo za ujumbe na zinazozungumzia maisha halisi kama wajamaica
 
Najua raggae ni mziki wa ujumbe na hisia,lakini dancehall ni mziki wakupart hakuna ujumbe kwenye dancehall ndio mana namtetea chibu alichokiandika ni sawa sawa kabisa.
 
mi wala sizungumzii hyo ishu ya dimond mkuu najaribu kukueleza tu kuwa sio dancehall zote ni za kuparty,msikilize damian marley,tarus riley,konshens,Agent sasco and so forth wanaimba dancehall yenye ujumbe ndani yake.
 
Back
Top Bottom