Morgan Freeman turns 84 today

Shawshank ni moja kati ya movie niliyoangalia mara nyingi sana. Huyu ni moja ya actors bora kabisa.
 
Kuna moja nayo nilliona ila sijaipata jina yaani mwanzo mwisho kweny mvua tu maji yamejaa kitaa kizima wanazunguka na maboti tu ni kali na ina ngumi pia
 
Sijaicheki, ntaisaka. Kuna kipindi nilikuwa natafuta movie zake na kucheki. Umeicheki Driving miss Daisy?
nishashusha hii naicheck hapa
Screenshot_20210605-003311_Torrent.jpg
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom