Moreno ocampo kuwataja wahusika wa vurugu za kenya leo

PhD

JF-Expert Member
Jul 15, 2009
4,599
3,671
Mwendesha mashitaka wa mahakama ya uarifu wa kivita iliyopo the haugaue, leo kabla ya saa sita atawataja vigogo walioshiriki au kufadhili na pengine kuchochea vurugu za baada ya uchaguzi huko kenya, je unahisi akina nani watatajwa leo hii? Na kwa wanaotegemea kugombea urais ndoto hiyo ndio kwa heri? Kwa ufupi nahisi hawa wawili, william ruto, kenyata uhuru nk
 
Nimesikiliza BBC asubuhi hii huko Kenya ni wasi wasi mtupu vigogo wanajitetea eti wanatonesha vidonda ambavyo vilisha pona lkn wananchi walioathirika na hizo vurugu wanataka watu waliosababisha ndugu jamaa na marafiki zao wapoteze maisha watajwe hadharani. si mchezo kwa watani wetu huko
 
Nimesikiliza BBC asubuhi hii huko Kenya ni wasi wasi mtupu vigogo wanajitetea eti wanatonesha vidonda ambavyo vilisha pona lkn wananchi walioathirika na hizo vurugu wanataka watu waliosababisha ndugu jamaa na marafiki zao wapoteze maisha watajwe hadharani. si mchezo kwa watani wetu huko

hapo kwenye red, wamesema ni dawa gani waliyotumia kuponya hivyo vidonda?
 
Awataje haraka ili sheria ifuate mkondo wake.

Hiyo ndio safi mkuu ukifanyizia watu unyama ujue iko siku bado utafatiliwa. Hao ndg zangu matumbo ni moto kabisa, na baadhi yao ndoto za Uraisi zinayeyuka.
 
William Ruto, Kivuitu, Uhuru Kenyata, Najib Balala, George Saitoti na na na na
 
These are the Names, some ar big fishes!!!
Francis Muthara
Uhuru Kenyatta
Wilium Ruto
Henry Kosgey
Hussen Alli
Jshua Arap Sang
Hao ndio aliowataja Ocampo na itabidi waende the Hague kujibu mashtaka
 
Ocampo Six

Uhuru Kenyatta
William Ruto
Francis Muthaura
Joshua Arap Sang
Henry Kosgey
Ally - Chief of Police
 
Kenyan MP files motion to block Ocampo

Written By:Mary Daraja,
Posted: Wed, Dec 15, 2010

A section of legislators have started fresh efforts to try and stop the International Criminal Court activities in Kenya.

This follows Chepalungu MP Isaac Ruto's Motion that seeks to bar ICC Prosecutor Luis Moreno Ocampo from prosecuting suspected masterminds of the post election violence and allow for a local judicial process.

Ruto a close ally of suspended Higher Education Minister William Ruto, is seeking the support of fellow legislators to persuade the government to withdraw from the Rome Statute by amending the International Crimes Act of 2008.

But Nairobi lawyer Haroun Ndubi in a telephone interview with KBC said attempts by MPs to push the President and the Prime Minister to withdraw from ICC is not possible since the new constitution obligates Kenya to respect the international conventions and we are a signatory to the Rome Statute.

The Chepalungu MP was last year in the forefront of opposing the local tribunal in favour of ICC. He argued then that a local judicial mechanism would be interfered with and Kenyans had faith in ICC.

Most Kenyans feel these prosecutions are vital in order to undermine the deeply rooted culture of impunity.

Source: KBC News
 
These are the Names, some ar big fishes!!!
Francis Muthara
Uhuru Kenyatta
Wilium Ruto
Henry Kosgey
Hussen Alli
Jshua Arap Sang
Hao ndio aliowataja Ocampo na itabidi waende the Hague kujibu mashtaka

sijaelewa yaani wanatakiwa wakwee KLM wajipeleke au inakuwaje?mi sijaelewa process hizi zinakuwaje
 
nilijua uhuru na ruto hawakosekani kwenye list hawa walijiaandaa kugombea urais 2012, habari yao kwishilia mbali
 
kama raila na kibaki hawamo, hiyo ni siasa na upuuzi mtupu! heri angewaacha wakenya wenyewe wangeweza kuchukua hatua siriaz kidog
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom