Hatimaye Moreno Ocampo ametaja list ya majina ya watu sita walioongoza machafuko yaliyoleta mauaji ya zaidi ya watu 1000 kule Kenya baada ya matokeo ya raisi kuchakachuliwa.
Baadhi yao ni William Ruto na Uhuru Kenyata...
Wamechuma miaka mingi, sasa wataenda kulia chakula yao rumande.
Na iwe fundisho kwa CCM na uchakachuaji wao.
Sijui lini Mkapa atafikishwa kwa mauaji ya Zanzibar?:angry: