More Oil\Gas found

Alpha

JF-Expert Member
Aug 30, 2007
662
251
Thomson Financial News
Aminex says Kiliwani North-1 well test results successful, exceeds expectations
06.04.08, 7:33 AM ET


LONDON (Thomson Financial) - Aminex Plc. said the test results of its Kiliwani North-1 well in Tanzania were 'successful', with the initial results showing a 'strong stabilised flow of gas' at a rate of 40 million cubic feet/day, equivalent to 6,700 barrels of oil a day.

The oil and gas company said the test results exceeded its expectations and will enable it to accelerate appraisal and commercialisation of the discovery.

TFN.newsdesk@thomson.com

kal/slm

http://www.forbes.com/afxnewslimited/feeds/afx/2008/06/04/afx5078794.html


COPYRIGHT
 
who owns this project ... mafisadi definately ... you wanna bet?

Unataka kutula na hiyo bet!

Tumeshaambiwa kuna "Karl Peters" mmoja anaitwa Jim Sinclair, amepewa haki zote za kugundua madini Tanzania kwa miaka alfu lela ulela!
 
Jobo,
Hayo mafuta yakipatikana utapataje nafuu wakati ni mali ya wengine ? Muulize Chacha Wangwe nafuu wanayopata wananchi wa Nyamongo na dhahabu yao !
 
Sasa hivi hata ukisikia Bongo yote ina dhahabu, nikimaanisha Mkoa wote wa Dar es salaam. Hakuna unafuu utakaoweza kupatikana kwa mwananchi wa kawaida mpaka wakoloni watakapo-ondoka.

Sasa tulishaondoa wakoloni wakati wa kupigania uhuru je hao ni akina nani?
 
Mafuta yameshapitwa na wakati sasa kuna food for oil ,wananchi wajitahidi kulima mahindi na miwa ,na pia sasa kuna gari zinaendea maji baada ya sri abayo ilikuwa imefichwa kutolewa nje ,just unaweka galoni yako ya maji na vijiwaya na kutenganisha hydrojen na kuipeleka kwenye mashine kupitia kwenye plagi unapata nguvu za kinyukulia.madogo mkisikia mafuta yanachimbuliwa tz basi ujue hayana samani tena si mnesikia kama kuna vita vya mazao na oil. Wanasema vita vya tembo mauti kwa nyasi.
Maana wameshaanza kutengeneza mafuta ya mazao ambayo yanendesha mashine aina zote hivyo ndio umiona bei za vyakula zimepanda kwa kasi na nguvu mpya.
 
Mafuta? Labda? Nasikia Hata Uganda Waligundua Mafuta Lakini Shida Ni Ile Ile Mtindo Mmoja.
Mi Sijui Kama Haya Yatatusaidia Kama Hatuna Sera Muafaka Ambazo Madini Yakusudiwa Kuwasaidia Wananchi Kutoka Katika Umaskini Huu Uliokithiri. Hata Wangegundua Nini Sijui Kwa Mipango Ya Hawa Viongozi Wetu Na Ufisadi Huu Sijui Kama Tutatoka
 
Mafuta yameshapitwa na wakati sasa kuna food for oil ,wananchi wajitahidi kulima mahindi na miwa ,na pia sasa kuna gari zinaendea maji baada ya sri abayo ilikuwa imefichwa kutolewa nje ,just unaweka galoni yako ya maji na vijiwaya na kutenganisha hydrojen na kuipeleka kwenye mashine kupitia kwenye plagi unapata nguvu za kinyukulia.madogo mkisikia mafuta yanachimbuliwa tz basi ujue hayana samani tena si mnesikia kama kuna vita vya mazao na oil. Wanasema vita vya tembo mauti kwa nyasi.
Maana wameshaanza kutengeneza mafuta ya mazao ambayo yanendesha mashine aina zote hivyo ndio umiona bei za vyakula zimepanda kwa kasi na nguvu mpya.

Mkuu! Yote haya baada ya kusikia mafuta yako bara na sio zanzibari? Basi iko kazi.
 
Imani yangu ni kuwa kama mafuta yakipatikana hapa nchini bei ya bidhaa hiyo ni lazima itashuka kiasi, siyo sana! Huo ni unafuu. Mafuta ni tofauti na dhahabu kwa maana kuwa dhahabu haitumiki nchini but mafuta tunayatumia. And by the way, tunatarajia mambo kubadilika baada ya siri za mafisadi kuwa siyo siri tena. Naamini kuwa hata Kikwete na proteges wake wataogopa kufanya yale ambayo yanaweza kuwaweka kizimbani once Watanzania wakigundua mbofumbofu zao!
 
Mungu saidia Tz tupate mafuta. Kwa mwendo huu, naomba tusikate tamaa sana, tukaona kama vile miaka yote tutakuwa tutapata viongozi mafisadi. sisi wenyewe ndo watu wa kuyafichua mafisadi.tunahitaji sana mafuta yapatikane, ilipokuwa tu, ni kwamba, siamini wanachosema. naomba watoe data halisi ili tuamini kama kweli kuna siku tutapata mafuta hapa. uchumi watz utakua haraka sana kama tukipata mafuta. na selikali sasa hivi inajua kuwa wananchi wako makini sana, hivyo hata kuiba sio rahisi kama ilivyokuwa kipindi cha nyuma. hivyo, ni lazima tukubali, kuwa, hata kama mafuta yatanufaisha watu wa nje kidogo, ni lazima tu watz wengi tunaweza tukatoka.

Cha kushauri,ni kwamba, kama kweli mafuta hayo yapo, basi selikali iruhusu watz wengu tuyamiliki kwa kupitia hisa, kitu kitakachotufanya tulikuze hata soko letu la hisa la Dsm, pia itakuwa ndo njia rahisi kwa watz kumiliki uchumi wao wenyewe kwa njia hiyo. I tell you, kama ikija tokea hivyo, watz tunamiliki hiza za makampuni ma mafuta yetu, hata kama bei itakuwa juu, sisi tutakuwa heri tu, kwasababu tutakuwa tunajua hisa zetu ziko juu vilevile. asante.
 
kwani hiyo ges ya songas mpaka sasa imetusaidia nini? si ni bora waviache vikae huko chini mpaka watu watakapokuwa waaminifu,suala hapa ni kupambana kwanza na hawa wakoloni weusi ambao ni wabaya kuliko wale wazungu tuliowatimua, la sivyo ni kazi bure tu .
 
Mbali ya kuwatajirisha wachache, hayo mafuta yasije yakatuletea magomvi kama Nigeria
 
Mkuu! Yote haya baada ya kusikia mafuta yako bara na sio zanzibari? Basi iko kazi.

Hapana ,kwani ukweli kama utaangalia na kuangaza angaza utaona hata UN wamianza kupiga makelele kuhusu sababu ya njaa inayoelekea kuikumba dunia mpaka wamefikia kusema mafuta yaliyogunduliwa kutokana na mazao ya chagula ni uadui dhidi ya ubinadamu.tatizo la zanzibar kule Nchi ya pemba ni kwamba mafuta yamekuja juu na kuna sehemu huruhusiwi hata kuvuta sigara ila sidhani kama ni mafuta kweli maana hata almasi waligundua na kumbe ikaonekana sio ya kweli wakati wapemba walishajaza kwenye magunia mpaka leo wengine bado wanayo na kule ilikoonekana bado kunalinwa na polisi .
 
Lets hope kwamba OIL/GAS zitakuwa nationalized kuondoa matatizo ya Carl Peters et al.
 
Mzee Mwiba, hiyo almasi iligundulwia Pemba?
enhee ,kwa vile watu wa pemba awajawai kuona alimasi nachoral walikuwa wakisikia tu inakata gilasi kioo ,basi walikuwa wakijaribu na kweli ikikata gilasi na aina zote za vioo ,hapo ndipo walianza kwenda kwa miguu pahali si karibu ,mfano ni kutoka Tanga mjini mpaka amboni jamaa wakiukanyaga na kurudi na mafurushi kibao kiasi cha uwezo wako wa kubeba.
 
Back
Top Bottom