Aisee nitakuwa nimkufananisha.Kile sikukiandika mimi mkuu mimi nikiandika kitu namaliza muda huo huo
Na Mtoto utaanza kuumpa Mwanaume yupi!?Nikipata 20B naoa wanaume wawili kila moja na nyumba yake
hawaweziWatakuua
Mtoto wa nini?Na Mtoto utaanza kuumpa Mwanaume yupi!?
Hiyo ndiyo my favourite TV program sema toka niwe na familia wanatazama mitamthlia nimeacha tazama, nimeahimia kwa thoughty2 Youtube kupata maarifa mchanganyiko.wanaopataga hizi bahati nasibu wote huishia pabaya either pesa iishe au auwawe huwa naangalia ID extra azam TV hizi cases
Wafuate jela kawaulize mkuu.Kwahiyo walitaka awape pesa kiasi gani, zilizokuwa mfukoni kwake au zilizokuwa benki? Na angewapje sasa hizo za benki? Mbona hawana akili? Na kwa kumuua ndio wamepata pesa? Au walitaka dada yake arithi pesa baada ya yeye kifa?
Haiwezekani kupata pesa na kubaki mpole au kama hakijatokea kitu.Nimekusoma Mkuu nimekiona hicho kipande cha mwisho! Kweli pesa yako mwenyewe ndiyo inakua hivivi! Jamani tukiwa na pesa tunatakiwa tuwe wapole sana,Kama vile hakuna jipya ili tuishi kwa amani!!
Nunua tv nyingine mkuu iweke chumbaniHiyo ndiyo my favourite TV program sema toka niwe na familia wanatazama mitamthlia nimeacha tazama, nimeahimia kwa thoughty2 Youtube kupata maarifa mchanganyiko
Kwani huna Kizazi!?Mtoto wa nini?
Na wote unaweza ukawapenda kweli au mmoja atakuwa juu na mwingine chini kithamani?Nikipata 20B naoa wanaume wawili kila moja na nyumba yake.