More Money, More Problems - Ushindi wa Bilion 50 ulivyosababisha kifo chake

wanaopataga hizi bahati nasibu wote huishia pabaya either pesa iishe au auwawe huwa naangalia ID extra azam TV hizi cases
 
wanaopataga hizi bahati nasibu wote huishia pabaya either pesa iishe au auwawe huwa naangalia ID extra azam TV hizi cases
Hiyo ndiyo my favourite TV program sema toka niwe na familia wanatazama mitamthlia nimeacha tazama, nimeahimia kwa thoughty2 Youtube kupata maarifa mchanganyiko.
 
Kwahiyo walitaka awape pesa kiasi gani, zilizokuwa mfukoni kwake au zilizokuwa benki? Na angewapje sasa hizo za benki? Mbona hawana akili? Na kwa kumuua ndio wamepata pesa? Au walitaka dada yake arithi pesa baada ya yeye kifa?
Wafuate jela kawaulize mkuu.
Hayo maswali huyo mleta uzi hawezi kukujibu.
 
Nimekusoma Mkuu nimekiona hicho kipande cha mwisho! Kweli pesa yako mwenyewe ndiyo inakua hivivi! Jamani tukiwa na pesa tunatakiwa tuwe wapole sana,Kama vile hakuna jipya ili tuishi kwa amani!!
Haiwezekani kupata pesa na kubaki mpole au kama hakijatokea kitu.

Lazima utabadilika tu kuendana na pesa zako.

Utabadilisha makazi unapoishi gari unayoendesha, shoppig n.k
 
Hiyo ndiyo my favourite TV program sema toka niwe na familia wanatazama mitamthlia nimeacha tazama, nimeahimia kwa thoughty2 Youtube kupata maarifa mchanganyiko
Nunua tv nyingine mkuu iweke chumbani
 
Wengi wanaoshinda hizi lottery huishia kwenye majanga

Ova
 
Nikipata 20B naoa wanaume wawili kila moja na nyumba yake.
Na wote unaweza ukawapenda kweli au mmoja atakuwa juu na mwingine chini kithamani?

Maana ninavyojua wanawake mioyo yao haigawanyiki kwenye penzi, lazima tu ujikute unaegemea kule moyo umelalia.
 
Back
Top Bottom