More defections in CCM as country asks:- Where is the Chief of Defence Forces?

U

utali

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2013
Messages
478
Points
500
U

utali

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2013
478 500
Ni stori iliyoandikwa na mtanzania na inawezekana ni wa UKAWA. Kiingereza chake kinaonyesha hivyo. Pili, Mwandishi wa uingereza ni vigumu kuandika "mzee Kingunge".
Hakika, hii ni ya ki ukawa ukawa kabisa.
 
R

Ruvuman

Senior Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
128
Points
225
R

Ruvuman

Senior Member
Joined Oct 13, 2012
128 225
Angalizo: Gazeti husika-The London Evening Post, ni gazeti la kimtandao(online newsletter) ambalo humilikiwa na Mpinzani wa Mseven aitwaye Dr Henry Gombya na hutumiwa sana na Waganda waishio Uingereza-wengi wao ni wapinzani wa Mseven. Haya yaliyoandikwa juu ya uchaguzi wa Tanzania si maoni ya wazungu ila ni maoni ya Bwana mmoja aitwaye Mhegera.
 
2

2kimo

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2014
Messages
2,035
Points
2,000
2

2kimo

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2014
2,035 2,000
Labda km wanajaribu kuchokoza mada. Ingawa inasemekana CDF amerudi Lakini bado haja-appear publicly
Ni upuuzzi!
Lini CDF huwa anaaga akitoka na kutoa taarifa akirudi?
Je hii ni Mara yake ya kwanza kutoka?
Cheap politics, mnajua kuwa mtashindwa na anatengeneza chaotic situation kujustify kushindwa kwenu kwa kusema kuwa uchaguzi haukuwa fair!
 
M

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Messages
5,348
Points
2,000
M

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2011
5,348 2,000
Hakuna jipya hapo, naona hizo habari wamezikusanya kwenye blogs zetu, kwani yote hayo tumeyaona humo na sioni jipya.
 
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
47,476
Points
2,000
Saint Ivuga

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
47,476 2,000
Ni stori iliyoandikwa na mtanzania na inawezekana ni wa UKAWA. Kiingereza chake kinaonyesha hivyo. Pili, Mwandishi wa uingereza ni vigumu kuandika "mzee Kingunge".
Kwa hio hii taarifa itasimwa na wabongo tu?
 
I

iArmaniAdamson

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2015
Messages
947
Points
225
I

iArmaniAdamson

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2015
947 225
More defections in CCM as country asks:-
Where is the Chief of Defence Forces?

Further he has threatened to take this matter to the Hague-based International Criminal Court (ICC) if the CCM dares rig this election. He complained that President Kikwete has issued threatening statements during the conclusion of the National Freedom Torch Race in Dodoma on Wednesday last week. Adding angers to the opposition is the fact that the CCM candidate Dr John Magufuli signed a contract for the construction of flyovers on Thursday last week while at the same time running campaigns as presidential candidate. This has been interpreted as an attempt to weaken UKAWA’s campaign after they have mentioned several times the notorious traffic jam problem in Dar es Salaam and other major cities. Generally the election multitude is tense as the country approaches voting day.


More defections in CCM as country asks:- Where is the Chief of Defence Forces? | The London Evening Post
You have two parties with different mindset and focus. CCM are focusing on winning and do everything they "can" and they you have cry babies UKAWA who for will use everything in their power to complain about every tiny detail. I really hope someone sensible is watching from ICC.

It wont be 100% perfect election, not single election has been ever perfect especially now there is so much at stake. It will be recklessness to pretend that everything will go according to plan. And with that in mind, there will be a lot of exaggeration and dishonest reporting mainly from opposition.
 
H

HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2015
Messages
2,882
Points
2,000
H

HEKIMA KWANZA

JF-Expert Member
Joined Mar 31, 2015
2,882 2,000
More defections in CCM as country asks:-
Where is the Chief of Defence Forces?

The answer to the question ‘who next?' that has been lingering on for some time, was partly answered by yet another defection from the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) party while Tanzania is closely approaching the General Elections set to commence on 25th October 2015.

On Tuesday 13th October former Ambassador to France and the first Secretary General of the newly revived East African Community (EAC), Mr Juma Mwapachu defected from the CCM registering a list of shortcomings in this party that groomed him to prominence inside and outside Tanzania. The Mwapachu family is one amongst prominent ones to have ever acquired high level posts after positive contributions of their parents to Mwalimu Julius Nyerere during his struggle for independence. His elder brother Mr Bakari Mwapachu retired from active politics recently after having served in various capacities including ministerial posts. Mr Mwapachu deserted the CCM which is now struggling to regain its strength after the debacles that were caused by the infighting struggles for the presidency, in a unique style. He started by introducing this matter in the social media on the 12th October, and then drawing a national attention as to what was to follow the following day when he was returning his CCM card, following similar footsteps of the party stalwart Kingunge Ngombale Mwiru a few days earlier.

More defections in CCM as country asks:- Where is the Chief of Defence Forces? | The London Evening Post
.........insulted them in a recent political rally by saying any man who thinks they can get change through the opposition, should first carry pregnancies.This was an insult that was shared in almost all the social media and a few in the audio and print being an addition to his insults a few days earlier by calling defectors ‘stupid' and ‘loafers'.....

More defections in CCM as country asks:- Where is the Chief of Defence Forces? | The London Evening Post | Page 2
=====================================================================
Huyu Mzee kilaje chake anachanganya na nini...!?
Hata wazungu watatushangaa kufanya uchaguzi bila kujua mkuu wa majeshi yuko wapi.
Nilitegemea gazeti la UK kitakuwa limegusia walau kidogo alipo CDF, naona km wameandika udaku zaidi!
Pengine ndo mana hata mikataba mi kubwa yote ni ya hovyo.
Labda km wanajaribu kuchokoza mada. Ingawa inasemekana CDF amerudi Lakini bado haja-appear publicly
Haya tena hata waingereza wanajadili hii suala
Prominent figure Prof Mwandosya is ready for change!!!
Wazungu nao washenzi tu ,Mbona CDF Alikua UK Hawajasema
The London Evening Post was a pro-JacobiteToryEnglish language daily newspaper published in London, then the capital city of the Kingdom of Great Britain, from 1727 until 1797.

Kweli wajinga ndio waliwao! "hilo gazeti lilishakufa tangu mwaka 1997" Kwa sasa hivi kuna gazeti linaloitwa 'Evening standard..ambalo linatoka mchana tu siku za kazi. Halafu hebu jaribu kugonga links zenye story nyingine kwa pembeni (kulia). Hawa wasanii wa Lowassa wameunganisha na websites tofauti tofauti!

Usanii mtupu.


 
N

nndondo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2010
Messages
1,251
Points
2,000
N

nndondo

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2010
1,251 2,000
Muulizeni Tully Mwambapa nyumba ndogo atakua anajua, huyo mama mtu mzima wa kisongea amejikalid ki fanicha fanicha tu. Tully njoo hapa utueleze kinachoendelea maana hakuna siri yote yako wazi yanajulikana. familia yake jumamosi ilishiriki vizuri maombi ya asubuhi, hakuna aliyeongelea hilo na wote walionekana kama wameloa na wako under some influence, pengine instructions of how to pretend that things are fine, ila watakua ma ----- maana hili ni swala la life and death, all is not well hatuhitaji evidence ya dead board, mbona mwalimu walimuweka kwenye friji days before they announced his death, leo hii tunasherehekea tarehe feki na kutegemea maombi yanafika popote? ni sawa na kuganga kwa waganga tu
 
1

1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2006
Messages
6,256
Points
2,000
1

1954

JF-Expert Member
Joined Nov 14, 2006
6,256 2,000
Angalizo: Gazeti husika-The London Evening Post, ni gazeti la kimtandao(online newsletter) ambalo humilikiwa na Mpinzani wa Mseven aitwaye Dr Henry Gombya na hutumiwa sana na Waganda waishio Uingereza-wengi wao ni wapinzani wa Mseven. Haya yaliyoandikwa juu ya uchaguzi wa Tanzania si maoni ya wazungu ila ni maoni ya Bwana mmoja aitwaye Mhegera.
Kama ni hivyo sawa. Mwingereza hawezi kuandika kiingereza cha aina hii. Sentensi ndefu na uandishi wa kuweka kiingereza ndani ya Kiswahili.
 
Countrywide

Countrywide

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
3,528
Points
2,000
Countrywide

Countrywide

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2015
3,528 2,000
Ni wapuuzi wakubwa hawa kujifanya hawajui kilichomo nyuma ya pazia au wanajaribu kuchokoza mada
Hapa ulikuwa unashadadia kuwa mwamunyange kapewa sumu kafa! Pole sana
 

Forum statistics

Threads 1,335,213
Members 512,271
Posts 32,499,296
Top