Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 10,141
- 12,187
Kwa wale wakongwe wa fani ya mawasiliano ya simu za upepo ama za waya waliokuwa waajiriwa wa EAAW(Shirika la ndege la Afrika mashariki),EAPTC(shirika la posta na simu la Afrika mashariki,EARW (shirika la reli la Afrika mashariki), Tanganyika Rifles(nowJWTZ) pamwe private sector 'wa enzi hizo' mlioko hai, tujikumbushe kidogo mambo ya mawasiliano yaliyotupatia sifa sana enzi za ujana wetu.
Baada ya mfumo wa internet na mawasiliano ya simu za kiganjani kuliteka soko la mawasiliano duniani, 'elimu pendwa' niliyoitaja hapo juu, sasa ninaona inapotea kwa kusahaulika ama kufa kifo cha kawaida.
Maana sijasikia tena chuo chochote kinachohangaika kufundisha telegraphy siku hizi.
Je mnakumbuka zile dot na dash tulivyokuwa tukiziimba vyuoni kama makasuku ili kukariri numeral, alphabets na panctuations zote kichwani wakati muda wa kozi hautoshi?
Je ulifaulu kuyakariri yote hayo ukiwa chuoni ama ulienda kupatia uzoefu maofisini?
Ulilipenda somo hilo ama uliona kama linakudhalilisha?
Je ulifaulu kupiga morse na kupokea kwa kasi ya maneno mangapi kwa dakika?
Na mengine mengi, kwa leo ngoja nitakumbusha kidogo mpangilio wa milio ya Roman alphabets na numeral kwa kuziimba dot na dash(. na -) ama 'di' na 'da'.
Ieleweke hapa kwamba, alphabet zote, numeral zote pamoja na punctuation zote na chochote kwenye mawasiliano ya telegraphy hutumika simble mbili tu, ambazo ni simble ya fullstop(.) Inayoitwa dot na kwenye morse code inaimbwa na kusikika 'di', kisha simble ya hyphen(-) inayoitwa dash na kwenye morse code inaimbwa na kusikika 'da'.
Haya tuwemo:
A.-(dida)
B-...(dadididi)
C-.-.(dadidadi)
D-..(dadidi)
E.(di)
F..-.(dididadi)
G--.(dadadi)
H....(dididi)
I..(didi)
J.---(didadada)
K-.-(dadida)
L.-..(didadidi)
M--(dada)
N-.(dadi)
O---(dadada)
P.--.(didadadi)
Q--.-(dadadida)
R.-.(didadi)
S...(dididi)
T-(da)
U..-(didida)
V...-(dididida)
W.--(didada)
X-..-(dadidida)
Y-.--(dadidada)
Z--..dadadidi
1.----(didadadada)
2..---(dididadada)
3...--(didididada)
4....-(didididida)
5.....(dididididi)
6-....(dadidididi)
7--...(dadadididi)
8---didi(dadadadidi)
9----.(dadadadadi)
0-----(dadadadada).
Somo litakalofuata, nitakuletea punctuations na kisha Telegraphy procedure.
Je wakongwe kweli mpo?
Nisije nikawa ninaongea na kujikumbusha peke yangu.
Mana dunia hii, miongo minne ikishapita ni miaka mingi sana, tegemea lolote kulisikia linalomhusu yeyote.