Mongela wa PSPF asimamishwa kazi...

hakuna lolote hilo ni agizo la jk kwasababu jamaa ni mkristo,

Mimi ni mkristo na nimekuwa nikipanda vyeo wakati wa JK sambamba na wa-kristo wengine.

Going by his 7 years record JK ana mapungufu mengi ila la UDINI halimo! In fact majority of presidential appointees in this country since he came 2 power are using Christian names (though not necessarily be christians) . Akichaguliwa Ndomba utasikia oh huyo ni mwana mtandao, na , akichaguliwa Rished Bade utasikia udini! This is being mean!

Wakristu siku zote wamekuwa reasonable thinkers ila of late sitaki kuamini kama hizi comments za " mkuru ni mdini" kama kweli zinatoka kwa wa-kristo. Please lets stop being driven by unfounded allegations na kuturudisha miaka ya 1940s.
 
Tunaongea sana, si amepisha uchunguzi kwanini tusiache uchunguzi ufanyike?? hata bata anakuwa msikivu akitaka kujua jambo.
Uchunguzi umefanywa na wale walibahatika kufanya kazi naye...Nani asiyejua jeuri ya huyu mutu. Jeuri madharau kebehi dhuluma unyanyasaji na upuuzi mwingineo... Hawa wanageuza nchi ya baba zao.
 
Yaani kila penye ulaji ni watoto wa vigogo siyo? Nimesoma leo jinsi Tanroad ilivyokuwa chaka la watoto wa vigogo kutuibia. Hapa hujaenda BoT au kwenye balozi zetu nje, bandari, uhamiaji, TRA. Mwe! Twesha!
 
Mimi ni mkristo na nimekuwa nikipanda vyeo wakati wa JK sambamba na wa-kristo wengine.

Going by his 7 years record JK ana mapungufu mengi ila la UDINI halimo! In fact majority of presidential appointees in this country since he came 2 power are using Christian names (though not necessarily be christians) . Akichaguliwa Ndomba utasikia oh huyo ni mwana mtandao, na , akichaguliwa Rished Bade utasikia udini! This is being mean!

Wakristu siku zote wamekuwa reasonable thinkers ila of late sitaki kuamini kama hizi comments za " mkuru ni mdini" kama kweli zinatoka kwa wa-kristo. Please lets stop being driven by unfounded allegations na kuturudisha miaka ya 1940s.
mkuu fatilia coment zinazohusu nssf humu jamvini ndo utajua nini namaanisha.
 
Mama yake mwenyewe ni mpinga maendeleo mkubwa wote na watoto wake walafi walafi tu, huyu mama ndie anayepinga Makongo kujengwa upya iwekewe lami, stendi na maji yeye anataka alipwe fidia kwa dola...
 
Nliwahi kufanya kazi na mmoja wa watoto wa hiyo familia ( Emmanuel )kwanza alitokea kampuni ya Mafuta TOTAL aliharibu akaenda Coca cola na akasepa akajaga Celtel - Zain naskia kesha ondoka kaenda Bank huko Arusha yaani wao ni full kuhama hama . CV yake haiwi ndefu kama zetu lakini weee Mama akipiga simu..... Kazi unakula !
 
Mkuu kwa sasa anafanya kazi standard chartered ni mkuu wa kitengo cha mauzo mikopo.
 
Hivi mama yake ameolewa? Kama ndiyo, mume wake anaitwa nani? Kama hapana, nini tafsiri ya kuwa na watoto?
 
Mkuu kwa sasa anafanya kazi standard chartered ni mkuu wa kitengo cha mauzo mikopo.

Ni kweli mkuu.........naye jeuri kwelikweli.....niliomba mkopo na nikapita process zote (bila kutoa rushwa wala kumjua mtu) kufika kwake akaweka ngumu kabisa.....bila kutoa sababu yoyote ile..... hata wasidizi wake walimshangaa sana.....anyway live moves on!
 
Mama yake mwenyewe ni mpinga maendeleo mkubwa wote na watoto wake walafi walafi tu, huyu mama ndie anayepinga Makongo kujengwa upya iwekewe lami, stendi na maji yeye anataka alipwe fidia kwa dola...

Huyu Mama alikuwa na Kashfa ya Kuhama na Vifaa vya ndani (Samani) Kutoka kwenye Nyumba aliyopangishiwa kwenye Bunge la Africa Huko South!! Hadi Aibu!!
 
Mama yake CHADEMA ilimpoteza vibaya kule UKEREWE sasa sijui anajivunia MAMA ake kwa lipi alilofanya la maana yeye na MAMA AKE.
 
mkuuu ni kweli kabisa,hapa ajira zinavyopatikana hata haieleweki,watoto wa vigogo wamejazana kibao,nakumbuka niliwahi kufanya field miaka fulani,ile kuingia tu naulizwa wewe umeletwa na nani?maana yake ni kwamba field au kazi kupata pale lazima uwe mchongo wa mtu fulani mkubwa
 
Back
Top Bottom