Money through Blogs and Website! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Money through Blogs and Website!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MtuMmoja, Sep 14, 2011.

 1. MtuMmoja

  MtuMmoja Member

  #1
  Sep 14, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Wakubwa naomba kujua different ways ambazo unapata mpunga kupitia blogs na website,naomba ushirikiano wenu!
   
 2. R

  Ruth Member

  #2
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  matangazo
   
 3. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  matangazo na pia inategemea nia na madhumuni ya hiyo site/blog...mfano unaweta tengeneza blog/site maalum ya kuuzia vitu/bidhaa flani ikakuletea mpunga au ukawa na site/blog ya kawaida tu kama facebook au blog ya kawaida tu ila kupitia matangazo madogo madogo ya wadhamini unayoyaweka kwenye page zako kwa makubaliano kati yako wewe mwenye site na hao wadhamini ukapata mpunga pia...!!
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Mkuu angalia hapo chini nadhani baada ya kumaliza kusoma utakuwa na majibu ya kotosha A to Z

  Source: 101 Ways to Monetize Your Blog Without Irritating Your Readers

   
 5. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #5
  Sep 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @mtummoja... Kuna hizi za bongo kabisa, zimekaa poa sana. Zijaribu...

  JigambeAds na JigambeBlogs - Blog and Earn

  Halafu pia, unaweza kkuiweka blog yako kwenye hii directory ya tanzania inaitwa TanzaniaKwetu

  Ushauri mwingine ni kua, jaribu kutumia blog iliyo yako kama www.mtummoja.com na sio blogspot kwani monetization options at blogspot are so limited.

  Poa kaka!
   
 6. HT

  HT JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 29, 2011
  Messages: 1,899
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  1. Make strong web with good contents
  2. Make a 'hook' contents free
  3. Make 'advanced' contents for premium members
  4. Premium membership yearly at som $$$

  it is basically versions, but then contents should be really strong!
   
 7. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hao kwetu tanzania, dah kweli kwetu tanzania jamaa wameanzisha Kampuni lakini inaonekana Code cheche maana hata Hiyo directory wamei-copy walichofanya nikubadilisha template tu..... ukiangalia website yao sasa dah! hadi aibu. ingawa mimi siyo mkari ki vile lakini naweza hata ku-customize zaidi yao, Maana ukiangalia hiyo flash template hadi aibu....lakini poa huenda nimeona mapungufu kwa sababu nina aidea, unajua ili upate clients lazima hata kwako pawe pa kari.............wawe serious. Mfano ukienda home page ya Jigambe Technologies | "Empowering Online Presence" utatamani ufunge browser maana hizo picha zilivyo.........!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 8. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Mkuu kazi nzuri nimeipenda hiiyo directory na zaidi nimepnda kwa kuwa so far ni free. We tried to silmiiar project na jf member hapa .

  Tatizo naliona na ushauri wangu kwako
  • Nimejaribu kusaliji kablog kangu ka mazoezi lakini nashindwa.... but nitaejaribu baadae
  • Vile vile katika registratiion mtu anachagua category moja. katika real life kampuni au hata mtu binafsi mmoja anaweza kuwa na zaidi ya category moja. Eg radio kama clouds inaweza kujiconer iko kwenye kundi la Media na pia ikajicnderikokweye kundi la entertainmnet na pia Promotion. So w acase hiy itabidi Ajisaliji mara mbili
  • Sijaona category muhimu ya Government na wanasiasa ( Wabunge, madiwani) ambaazo official contact zao ni muhimu ziwe centralised na watu wazijue ( Wizara, Mikoa, Idara kama Polisi,TANESCO, etc)
  Unaweza pia kujaribu kufanya research ya Sobipro exension inayofanya kazi kwenye joomla. Niliipenda directory structure yake . Uzuri wake unaweza kuicustmise na kuongeza fieldd nyingine ( Wilaya, mkoa, jimbo) au kuziondoa nyingine...... NAlile tatizo la mtu au shirika kuwa katika category zaidi ya moja ina inali handle vizuri.

  hapa ndio project yetu na member kadhaa ili fail ukipenda ninaweza kushare my experince.


  Mkuu nadhani ukikosoa inakuwa vizuri zaidi ukipendekeza way foward kwa kupendekeza nini angefanya na wapi . kitaaalama kwa kuachambua area specific. Kma una suluuisho na uahsuri mpe mdau.
   
 9. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Tanzania bado tupo nyuma sana Angetokea mtu akawa Broker kati ya wenye website na yeye akawa anawasiliana na watangazwaji basi ingekuwa poa. kama hawa jamaa wa ****** - The URL shortening service that pays you! Earn money for every visitor to your links. wao wana walipa wenye website endapo link zao zitabonywa...na wao wana matangazo ya wateja wao ambao wanawalipa wao...

  sijui lini tutafika huko kama wao.... kwa tz yafanya kazi ila hadi uwe na pay pal na uwe na visitor wengi.

  cheers
   
 10. M

  Mputi Member

  #10
  Sep 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br /> Kaka Hiyo jigambe mpaka inakera ila hata jamaa aliyo host hii site mzinguaji tu, m2 na akili zake hawezi weka hewani uchafu kama huu
   
 11. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #11
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  @mputi, @lugina...

  Help us a way forward please!
   
 12. mdeesingano

  mdeesingano Member

  #12
  Sep 21, 2011
  Joined: Aug 12, 2008
  Messages: 70
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naamini mwanzo mgumu, ila, bila kuanza hauwezi kufika! We are starting, we will work on the screenshots!
   
Loading...