Money Laundering: Tanzania Imposes Cash Limit on traveler | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Money Laundering: Tanzania Imposes Cash Limit on traveler

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by lukindo, Jan 23, 2012.

 1. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  [FONT=&quot] Wasalaam wanajamvi,

  tafakarini juu ya hiki kipande cha habari ili tujue kuwa ni muenelezo wa sera zetu za 'kinafiki' au kuna ukweli.

  People entering or leaving the country must inform officials of cash of financial instruments in their possession – including travellers’ cheques or convertible securities.[/FONT]

  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Regulations awaiting the signature of Minister for Finance Mustafa Mkullo before being made public.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]

  [FONT=&quot]It is estimated that between 1995 and 2011, Tanzania lost more than Tsh 300 billion ($300 million) through money laundering. This sale of narcotic is the source of much of this money.[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]

  [FONT=&quot]Source: theeastafrican.co.ke[/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]My take:[/FONT]
  [FONT=&quot]Inaelekea baada ya kukomba Hazina na kujihakikishia kuwa wamewekeza vya kutosha, wakuu wetu wanakuja kukumbuka ‘kuvuta shuka asubuhi’ wakati yamebakia ‘magunzi’. [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Wanajanvi, can this rescue the collapsing economy of our dear TZ!!!!??? [/FONT]
   
 2. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2012
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  Lkn bado watu wanabeba in the name of investors
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Hapo sasa. Hakuna nchi yeyote iliyowahi kuendelea kwa kuruhusu wawekezaji kukomba kila kitu na kupeleka kwao.
   
 4. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  alafu inaelekea huyu mkuu analeta wazo hili huku akijua kinachoendelea/kilichokuwa kinaendelea 'nyuma ya pazia' ili ionekane kama kuna sera nzuri za uchumi.
  Ninavyojua mfumo wetu wa uchumi ulivyoharibika ili suala na mengine kama ni vigumu kutekelezeka kwa maana wanaohusika na uharibifu wa uchumi wetu asilimia kubwa (kama sio wote) ndeio waliopewa jukumu la kuusimamia
   
 5. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 511
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wahusika ni wote waliopewa jukumu la kuusimamia,hakuna aliyebora wengine ni wazuri kwa maneno na kimtazamo mbele ya umma lakini ukiingia ndani wote ni jamii moja.
   
 6. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  ndio maana nakuwa na wasiwasi kuwa ni muda gani itatuchukua kuamini kuwa tunachosema na kuplan ndicho kilekile tunachokusudia kukitekeleza. Hii inaweza kuweka tofauti ya mtu aliyejaza vitabu ndani lakini hajawahi hata kuvisoma na msomi asiye na vitabu ndani mwake. Maana plans na sera ni zimejaa kwenye mashelves na makabati ya taasisi za watawala
   
Loading...