Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 10,041
- 12,520
Sure, kwanza hata kufa Tokyo it seems haikuwa kwenye plan, hakuna logic ya kumvalisha mabomu then unataka kumuokoa then anakufa. In short wamechemka hii part 5.Unajua hii series Tokyo ndo alikuwa anafanya narration ,
Kuna mda anasema "" tulijua tuko vita lakni atukujua vita inafanana hivi""
Yaani ndani plan A kuna mambo mengi yalijitokeza lakin waliona kam bado itawork out kuja kustka washachelewa