Money Gram inafanyaje kazi?

Kama una mpango wa kutuma pesa nenda tu Western Union wako kila wilaya hapa Tanzania na nchi zote. na gharama zao za kutuma pesa ni ndogo mno.
 
Ni kama M-pesa nenda kwa mawakala kwa kawaida Posta na sehemu nyingine zenye huduma au awakala wa Western Union.
 
Inapatikana nchi nzima, na mawakala wake ni bank zote na ofisi za posta.
Samahani mkuu sio kila benk wanatoa hiyo huduma labda kama wameanza hivi karibu, Exim, Nmb, Crdb hawatoi tulihangaika sana na mwenzangu, ila Equity benk ni uhakika atafute mahali inapatikana.
 
Samahani mkuu sio kila benk wanatoa hiyo huduma labda kama wameanza hivi karibu, Exim, Nmb, Crdb hawatoi tulihangaika sana na mwenzangu, ila Equity benk ni uhakika atafute mahali inapatikana.
Ahsante kwa kunijuza mkuu
 
Back
Top Bottom