Money Found in Balali's House

Kibunango

JF-Expert Member
Aug 29, 2006
7,743
1,500
Acha utoto wewe, hayo mapicha yapo kwenye mzunguko wa emails, blogs na forums kwa zaidi ya miaka miwili sasa...
 
Kafara

JF-Expert Member
Feb 17, 2007
1,393
1,225
Acha utoto wewe, hayo mapicha yapo kwenye mzunguko wa emails, blogs na forums kwa zaidi ya miaka miwili sasa...
yaani jamaa kuingia na post ya kwanza analeta kichekesho!!!
kaaazi kweli kweli
 
TzPride

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
2,601
2,000
Heshimu hii forum, wengine tunaitegemea kupata info za muhimu. Tafadhali wewe SPARKLE acha pombe, otherwise administrator inabidi akuangalie kwa jicho la "elimination". Lete true stories only and not otherwise.
 
mwanatanu

JF-Expert Member
Jan 22, 2008
853
225
yaani jamaa kuingia na post ya kwanza analeta kichekesho!!!
kaaazi kweli kweli
Sidhani ni kichekesho...huyu jamaa anasoma sana magazeti ya udaku......ni pumba tupu...nadhani alikuwa akipost kwenye forum nyingine...ikaangukia hapa
 
Mtu Mzima

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
381
195
Sidhani ni kichekesho...huyu jamaa anasoma sana magazeti ya udaku......ni pumba tupu...nadhani alikuwa akipost kwenye forum nyingine...ikaangukia hapa
Kwa vile JF imeruhusu uhuru wa maoni basi tuwe tayari kwa kila kitu kuwa ubaoni.Ni juu ya members kuchambua kama ni pumba basi ni kuacha topiki ife .Kwa members pia natoa rai tusitumie vibaya uhuru wa maoni.Karibu sana JF mheshimiwa
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
12,421
2,000
Duh, ni pesa kibao sana. huenda zingtengeza madawati mengi sana.

[media]http://www.jamboforums.com/attachment.php?attachmentid=1099&d=1202511757[/media]
 
Top Bottom