Monduli mjini kulipuka , Kamanda Mbowe kuwasha moto mkubwa , unaambiwa Hapatatosha !

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,343
217,372
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana ! Hakika kila linalotokea halitokei kwa bahati mbaya , Kuondoka kwa msaliti Kalanga kumetoa nafasi ya kishindo kikubwa sana kulipuka Monduli

FB_IMG_1536778507333.jpg
 
Mbowe ni dikteta kama madikteta wengine.
Bahati yake watanzania wameshaichoka CCM lakini pia wamemchoka Mbowe zaidi.
 
wanajisumbua tu hilo ni kama wanaenda bonanza ccm ushindi daima mtaisoma namba kwa sanaaaa
 
Back
Top Bottom