meba
Member
- May 5, 2012
- 99
- 9
Ndugu zangu tokea tanzania umepata uhuru wilaya ya Monduli haijawai kua na maji ya kwa aijli ya binadamu. Wakati huohuo mbunge wao bw. Edward Lowassa kila siku akipita majimbo mengine kuendesha harambee.
Mimi najiuliza kwa nini mbunge wetu asitupatie maji wakati anauweza wa kuchangisha hela nyingi huko kungine na kusahau Monduli? Kama haumini leo hii nenda Monduli kama utapata maji ya kunywa lakini naona watu wanamshangilia mweshimiwa tu bila kuangalia anakotoka.