Monduli maji hayapatikani kwa muda ya miaka 50 sasa, Lowassa vipi?

meba

Member
May 5, 2012
99
9
Ndugu zangu tokea tanzania umepata uhuru wilaya ya Monduli haijawai kua na maji ya kwa aijli ya binadamu. Wakati huohuo mbunge wao bw. Edward Lowassa kila siku akipita majimbo mengine kuendesha harambee.

Mimi najiuliza kwa nini mbunge wetu asitupatie maji wakati anauweza wa kuchangisha hela nyingi huko kungine na kusahau Monduli? Kama haumini leo hii nenda Monduli kama utapata maji ya kunywa lakini naona watu wanamshangilia mweshimiwa tu bila kuangalia anakotoka.
 
Wala msiwe na wasiwasi, Itapigwa Harambee ya nguvu muda si mrefu. Mtapewa maji safari hii sio Kofia, Kanda wala Tshirt. Jmaa yuko Makini sana.
 
Ndugu zangu tokea tanzania umepata uhuru wilaya ya monduli haijawai kua na maji ya kwa aijli ya binadamu. Wakati huohuo mbunge wao bw. Edward lowasa kila siku akipita majimbo mengine kuendesha harambee. Mimi najiuliza kwa nini mbunge wetu asitupatie maji wakati anauweza wa kuchangisha hela nyingi huko kungine na kusahau monduli? Kama haumini leo hii nenda monduli kama utapata maji ya kunywa lakini naona watu wanamshangilia mweshimiwa tu bila kuangalia anakotoka.
Maji ya nini kwa Masai? Masai hafui, haogi, wala hanywi maji maana akiwa na kiu anakunjwa maziwa. sana sana anahitaji bwawa la kunyweshea ng'ombe wake.
 
Jamani ccm hawana hata huruma watu wa monduli wanakufa na ukitakita kuahakiki nenda monduli leo utkuta watu wanashikiana na ng'ombe maji kwenye bwawa
 
Hata Nyerere kaongoza Nchi 23 Years lakin Butiama hakukuwa na Maji، Umeme wala Barabara ya Lami. Slaa kaongoz Karatu 15 Years lakin Jimbo lake halina Tofauti na Kaliua kwa Kapuya, Mkapa kaongoza Nchi Vizuri lakin Masasi jimbo lake la Ubunge lilikuwa na Matatizo kibao. Lowassa sio Size yenu nyie Jadilini Waraka na Zitto wenu!
 
Songoro ebu tupatie majibu ya hizi changamoto wewe kama mtaalamu wa Lumumba ka Bwana Lukosi na Hamy-D ebu mtusaidie kupata majibu ya Changamoto hizi chini ya Utawala wa CCM. Badala ya kuzungumzia mambo ya Zitto Kabwe ndani ya Chama chake?

1. Kuboresha Elimu
2. Kusaini mikataba safi
3. Kuwakamata walioficha mabilioni Uswiss
4. Ile sera ya kuvua Magamba ilifia wapi?
5. Madawa ya Kulevya
6. Ufisadi utakomeshwa lini?
7. Kuuawa kwa Tembo na Biashara ya Menno na pembe za Tembo
8. ununuzi wa magari ya kifahari
9. Gesi itachimbwa wazawa sio wageni tena
10. Ajira
11. Azimio la Arusha
12. Air Tanzania itarudi lini?
13. Watuhumiwa wa makosa mbalimbali mbona hawakamatwi?
14. Ripoti ya mabomu kule Arusha itatolewa kweli?
15. Wananchi wa Kigamboni hawataambiwa kuogelea tena, wala wale watakaoshindwa kulipia umeme hawataambiwa watumie vibatari wala wale wenye kutaka kuwekeza kwenye gesi sasa hawataambiwa kujishughuliza na utengenezaji na uuzaji wa Juice
 
Maji ya nini wakati mnapewa magunia ya mahindi mgawane msimu wa kampeni za uchaguzi? Labda msimu ujao wa kampeni mwambieni asiwahonge tshirt, kanga, kofia na mahindi badala yake awafanyie mpango wa kupata maji.
 
Kuna watu wanajitahidi sana kumpiga Vita Lowassa.
Hapa linaongelewa suala la ukosefu wa maji monduli, suala la kumpiga vita Lowassa linatoka wapi? Kwa hiyo unataka kusema kuwa hakuna shida ya maji monduli?
 
Wala msiwe na wasiwasi, Itapigwa Harambee ya nguvu muda si mrefu. Mtapewa maji safari hii sio Kofia, Kanda wala Tshirt. Jmaa yuko Makini sana.

Monduli hawaishi watu ila wanaishi mifugo kV. ng'ombe, mbuzi,kondoo, na aina Fulani ya wanyama wanaofanana na binadamu. viumbe hawa wanakunywa maji pamoja na mifugo. wanaishi nao nk.

Hivyo hata. Huduma. zingine za kijamii. siyo muhimu huko Monduli.
 
Ndugu zangu tokea tanzania
umepata uhuru wilaya ya monduli haijawai kua na maji ya kwa aijli ya
binadamu. Wakati huohuo mbunge wao bw. Edward lowasa kila siku akipita
majimbo mengine kuendesha harambee. Mimi najiuliza kwa nini mbunge wetu
asitupatie maji wakati anauweza wa kuchangisha hela nyingi huko kungine
na kusahau monduli? Kama haumini leo hii nenda monduli kama utapata maji
ya kunywa lakini naona watu wanamshangilia mweshimiwa tu bila kuangalia
anakotoka.

we waulize wenzako wanapewa nin mpaka wanamshangilia, ukae ukijua akili ni nywele
 
Wanainchi wa jimbo la Monduli wamezidi kupaza sauti zao kwa Serikali wakidai kukamilishiwa mradi wao wa maji. Ikumbukwe feza za mradi wa maji jimbo la Monduli zilitolewa na Serikali, kilichokuwa kimebakia ni utekelezaji.

Hata hivo wanainchi hao wanamlalamikia Mbuge wao Lowasa kwa kushindwa kukamilisha mradi huo wa maji kwa wakati, mpaka sasa hawajajua hatma yao ya kupata maji safi kutokana na feza za mradi huo kutoonekana.
 
Kwa Tanzania sehemu zinazotoka maji ni chache sana,dar tuu hapo hakuna maji wakati maji meengi ruvu..
 
Wanainchi wa jimbo la Monduli wamezidi kupaza sauti zao kwa Serikali wakidai kukamilishiwa mradi wao wa maji. Ikumbukwe feza za mradi wa maji jimbo la Monduli zilitolewa na Serikali, kilichokuwa kimebakia ni utekelezaji.

Hata hivo wanainchi hao wanamlalamikia Mbuge wao Lowasa kwa kushindwa kukamilisha mradi huo wa maji kwa wakati, mpaka sasa hawajajua hatma yao ya kupata maji safi kutokana na feza za mradi huo kutoonekana.
Wapo sahihi hao wainchi, wapewe haki yao
 
Hata Yuda Iskariote alikuwa anapiga deal kwa mgongo wa kuuchukia umaskini, kuna siku alitaka pafyumu ya Yesu iuzwe ili pesa wapewe maskini, Yesu akamkaripia kuwa MASKINI wapo siku zote asijifanye kawaona siku hiyo. Mtu akikuambia anauchukia uwe macho, huenda akawa mpigaji tu.
 
Back
Top Bottom