Monalisa Ndala: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa ajiuzulu mara moja

Msigwa aache kuishi enzi za Magufuli. Aache Magufuli aondoke na ushenzi wake peke yake.

Inaonekana wazi Msigwa yuko chini ya Rais Samia lakini anamtumikia Magufuli na Umagufuli. Haya mambo ya kudhalilisha watu, tulidhani yameondoka na Magufuli. Lakini kumbe bado wateule wa Magufuli wanayaendeleza hata sasa.

Sisi wengine tulidhani tumezika enzi mbaya na kufungua enzi mpya, lakini wateule wa Magufuli wanaendeleza umagufuli chini ya Samia. Hili linashangaza na kusikitisha. Samia ampumzishe huyu mtu, amepwaya. Ampumzishe aende akafanye umagufuli wake nyumbani sebuleni kwake na familia yake kama anavyofanya Humphrey Polepole. Hataguswa na mtu. Msigwa aache kuishi enzi za Magufuli. Aache Magufuli aondoke na ushenzi wake peke yake.

Inaonekana wazi Msigwa yuko chini ya Rais Samia lakini anamtumikia Magufuli na Umagufuli. Haya mambo ya kudhalilisha watu, tulidhani yameondoka na Magufuli. Lakini kumbe bado wateule wa Magufuli wanayaendeleza hata sasa.

Sisi wengine tulidhani tumezika enzi mbaya na kufungua enzi mpya, lakini wateule wa Magufuli wanaendeleza umagufuli chini ya Samia. Hili linashangaza na kusikitisha. Samia ampumzishe huyu mtu, amepwaya. Ampumzishe aende akafanye umagufuli wake nyumbani sebuleni kwake na familia yake kama anavyofanya Humphrey Polepole. Hataguswa na mtu.
 
Pale VETA Dar zamani kulikuwa na bango kuubwaa lisemalo "Fundi asiye na ujuzi hulaumu vyombo vyake"... Kileza kalufundi utampenda na huo ubonge wake...
So fundi wa mabonge Kama swahiba wangu mamdenyi

USSR
 
GERSON MSIGWA AJIUZULU

Ndugu zangu waandishi wa habari, kwanza nawashukuru kwa kuitikia wito wangu na kufika hapa leo. Nimewaita kwa jambo moja tu ambalo niliona haitakuwa sawasawa likiachwa na kupita hivi hivi...
Naunga mkono hoja.
 
Haya maneno yana ukakasi na yanatweza sana. Huwezi kumuattack mtu ambae ametangulia mbele za haki na hawezi kujitetea. Kosa uone mtu mwingine amefanya umuattack magufuli. Eti tumezika enzi mbaya. Wateule wa magufuli wanaendeleza umagufuli.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana kweli kuna upendeleo lkn ukisoma maneno yake mwenyewe, Ma mkubwa, pure Afrikan, mtu mtu hasa . Amesema " inawezekana mwandishi alithibitisha".

Sasa si kazi yake au msomaji wa gazeti kujua kama ni kweli au uongo,anayehitajika kuthibitisha ni MWANDISHI WA GAZETI sio sisi wasomaji.

Msigwa alinukuuu chanzo.

2. Hoja ya Hamza kuwa na jezi, kuchangia mambo ya ccm hakumfanyi kuwa mwanachama wao.
Mfano watu wengi wanavaa jezi za cdm, vyama vya mpira kama Man U. Liverpool lkn club hizo haziwatambui kama ni wanachama. Uanachama ni kuwa na kadi tena kadi iliyo hai.

Bi mkubwa, dada wa taifa ajue hilo.
Ila ni mbegu kubwa au uongo makamanda?
 
Sielewi kwanini msigwa Hadi leo yupo serikalini

Alipaswa arudi songea akiripoti habari za TBC
 
Huu upuuzi umetoka kwenye chama kinachounda serkali Zanzibar, ni ujinga kufikiri mwajiliwa wa serkali anweza kujiuzuru ,kile cheo sio Cha siasa Kama Cha zito


USSR
Mwinyi alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? Lowasa alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? kahasheki alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? David mathayo alipojiuzulu hakuwa mwajiriwa serikalini? Hao ni wachache tu katika wengi
 
Back
Top Bottom