MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 31,528
- 47,775
Gatuzi la Mombasa limejiandaa kupokea mabilioni kutokana na uvuvi, hii ni baada ya wao kuzindua meli yenye uwezo wa kuvua samaki tani 40,000 kwa mwezi.
Kawaida tumezoea kuona meli za kigeni zikivua samaki maeneo ya ndani ya bahari, sasa Mombasa nao wamethubutu, wamezindua meli yao (deep sea vessel) itakayokua inasafiri hadi kule ndani tofauti na boti za wavuvi wa kawaida ambazo huishia maeneo ya karibu karibu.
Wachina huingia humo na meli zao kubwa wanavua aina nyingi za samaki, sasa sisi wenyewe tunakwenda huko huko hadi kieleweke. Hongera Mombasa county 001, hongera Kenya, Africa hoyee.
Mombasa angles for fishing billions with launch of deep-sea vessel