Mombasa: Wanawake 11 watiwa mbaroni wakati wakirekodi video za ngono

mwanamwana

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Messages
660
Points
1,000
mwanamwana

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2011
660 1,000
11 women have been arrested in Nyali estate, Mombasa while shooting pornographic movies.

The suspects are expected to be arraigned in court on Friday.

Mombasa Police Commander Johnson Ipara said sex toys were discovered at the house they were operating in.

Citizen
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
4,075
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
4,075 2,000
Tatizo ugumu wa maisha wana fanya lolote njaa mbaya sana
 
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
8,040
Points
2,000
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
8,040 2,000
And charge them with what? Conspiracy to fvck?

saa zingine tuwache Ujinga Kama huu.
In philosophy of law, this is against our culture, customs and norms. Again it's contrary to our laws.
 
N

nomasana

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Messages
992
Points
500
N

nomasana

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2009
992 500
In philosophy of law, this is against our culture, customs and norms. Again it's contrary to our laws.
We got rampant corruption hunger and terrorism but our police and courts would rather waste time on arresting people for fvcking?!

Misplaced priorities.
 
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
2,177
Points
2,000
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
2,177 2,000
Taasisi nyingi za Kiafrika ni za kishenzi tu ndio maana Bunge la Kenya linapata muda wa kutunga sheria za kusimamia mambo yasiyo na tija yoyote.

Hiyo video ina madhara gani sasa?
 
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Messages
4,144
Points
2,000
P

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2016
4,144 2,000
wadhungu wametuharibu sana
Ukweli unaofichwa
 
babyfancy

babyfancy

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Messages
248
Points
500
babyfancy

babyfancy

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2018
248 500
11 women have been arrested in Nyali estate, Mombasa while shooting pornographic movies.

The suspects are expected to be arraigned in court on Friday.

Mombasa Police Commander Johnson Ipara said sex toys were discovered at the house they were operating in.

Citizen
Mmmmmh wanawake wa Kenya sio watu
 
Dalalims

Dalalims

Senior Member
Joined
Apr 6, 2019
Messages
109
Points
225
Dalalims

Dalalims

Senior Member
Joined Apr 6, 2019
109 225
11 women have been arrested in Nyali estate, Mombasa while shooting pornographic movies.

The suspects are expected to be arraigned in court on Friday.

Mombasa Police Commander Johnson Ipara said sex toys were discovered at the house they were operating in.

Citizen
GOOD JOB! LOCK THEM UP. WE SHOULD NOT LET STUPID WOMEN DO THAT. IT'S SHAMEFUL FOR EAST AFRICANS
 
Dalalims

Dalalims

Senior Member
Joined
Apr 6, 2019
Messages
109
Points
225
Dalalims

Dalalims

Senior Member
Joined Apr 6, 2019
109 225
Taasisi nyingi za Kiafrika ni za kishenzi tu ndio maana Bunge la Kenya linapata muda wa kutunga sheria za kusimamia mambo yasiyo na tija yoyote.

Hiyo video ina madhara gani sasa?
Yaani wewe unatukana hao wanaliokamata wanawake wanaofanya na kurekodi picha za ngono ??!!!!

Kama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake!!.
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
13,813
Points
2,000
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
13,813 2,000
Taasisi nyingi za Kiafrika ni za kishenzi tu ndio maana Bunge la Kenya linapata muda wa kutunga sheria za kusimamia mambo yasiyo na tija yoyote.

Hiyo video ina madhara gani sasa?
Halafu Watanzania mlivyo wanafiki, mbona mlimsema sana Gwajima kwa ile video yake, au Amber Ruti ambaye mlimtia ndani akanyea debe, Diamond mkampiga ban kwa wimbo wake wa nyegese.
Japo mambo ya ngono ni siri ya wahusika, lakini ukiifanya wazi basi huna budi kukamatwa, zipo sheria dhidi ya mambo haya, hata Marekani watu hufunguliwa mashtaka wakipatikana wanagegedana kwenye gari.
 
yitzhak

yitzhak

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2019
Messages
274
Points
500
yitzhak

yitzhak

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2019
274 500
Hao wafungwe ili wabadilike km wanaume wa Kenya wamewashindwa watupatie sisi tuwashughulikie
 
Forum statistics

Threads 1,316,455
Members 505,652
Posts 31,890,972
Top