Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Sultani wa Zanzibar? hivi hawajui kuwa Zanzibar hakuna Sultani kuanzia 1964?
Sultani wa Zanzibar? hivi hawajui kuwa Zanzibar hakuna Sultani kuanzia 1964?
Mkuu hii chokochoko huenda ina mizizi mikubwa. Wanaporejea kuwa chini ya Sultan wa Zanzibar wana maana ya ile maili kumi ya pwani ya Afrika mashariki yaani Mombasa na ukanda wote huu (DSM inclusive) ambao kiutamaduni na kiimani walikuwa na mahusianio makubwa na Zanzibar hivyo wakawa chini ya Sultan kiutawala pia.
Kwa maana nyingine ni kwamba hawa Mombasa Republican Council wanataka waturudishe kwenye ule mkataba wa Sultan na Waingereza ili Pwani yote iwe independent na huenda iungane na Zanzibar baada ya Zanzibar kujitoa kwenye muungano wetu!
Jamani hamuoni kwamba na huko Zanzibar kuna vuguvugu la kuua Muungano? Kalagha baho.
Mkuu MKJJ inawezekana wewe na mimi ndio tunaojua Zanzibar hakuna Sultani ila wao wanajua bado yupo na hata kama haonekani wanajua wapi watamtoa. Nakwambia hili vuguvugu endapo viongozi wetu hawatachukua effective measures linaweza kuja kusumbua kwenye EAC mpya, labda hope inabaki kuwa EAC itakapo kuwa in place hoja yao inawezakufa automatically.Sultani wa Zanzibar? hivi hawajui kuwa Zanzibar hakuna Sultani kuanzia 1964?
Ndo nimepata picha hivi wale wajuzu wanaojiita kikundi cha uwamsho si ndo sawa na hawa wa pwani ya Kenya
..eneo lau ni dogo sana na it doesnt make any sense kwao kuwa nchi huru.
..sababu hiyo, na the fact kwamba Kenya huru ilihitaji kuwa na access na bahari, ndizo zilizopelekea SULTANI wa Zanzibar KULIUZA eneo hilo kwa Kenya.
..sasa kama hawa wako makini, na wanataka kufuata sheria, na historia yao, basi wadai kuunganishwa na Zanzibar, lakini siyo kuwa nchi yao wenyewe.
NB:
..mimi siungi mkono kwa eneo hilo kujitenga na Kenya.
this is a dangerous form of thinking, Mombasa in itself is the second largest city in Kenya. Though with legitimate concerns, Nakuru,Kisumu,Kisii even Nairobi grapple with unemployment. Job creation is a community effort backed with govt incentives, not the govt to create jobs for people with no education and zeal to work. What is 'illigitimately' theres is a 16km strip that a Kalenjin from Kenya can run across in just under 2 hours, infact its a half marathon. The PPO has given the orders, any further MRC groupings ni Ushenzi that should be rounded up else such reckless remarks to support the outfit will lead to rise of other groupings elsewhere.....unemployment is everywhere and not unique to coast alone. Get this from a Kenyan and fellow blogger.WanaJF yaelekea hamjawaelewa hawa jamaa MRC..... wanachodai si historia wala nini.... wanachodai ni mkate wa taifa..... miaka yote wamekuwa wakishuhudia Nairobi ikipewa fungu kubwa toka serikalini huku wenyewe wakiwa watazamaji tu, kana kwamba wenyewe si sehemu ya Kenya..... baada ya kuona hayo kwa muda mrefu sasa... ndiyo maana wanataka sasa kujitegemea.... maana hawaoni faida ya kuwa sehemu ya kenya. Nchi ina upendeleo... Mbali na rasilimali ilizonazo Mombasa hamna miradi yoyote ya maana ukiachilia mbali bandari.... lakini Nairobi ambayo haina kitu fedha zote za nchi zinawekezwa huko..... hata unaweza kuangalia hii post aliyoweka huyu bwana.. https://www.jamiiforums.com/international-forum/256381-middle-class-grows-in-kenya.html
wanataka kudai nchi then at the end waingie makubaliano ya kujiunga na zanzibar then zanzibar iwe nchi huru ya pwani kama enzi za sultan! ajenda ni kubwa huo ni mwanzo tu! wanadai hawafanani na watu wa kenya kila kitu culture, religion na appearance!
this is a dangerous form of thinking, Mombasa in itself is the second largest city in Kenya. Though with legitimate concerns, Nakuru,Kisumu,Kisii even Nairobi grapple with unemployment. Job creation is a community effort backed with govt incentives, not the govt to create jobs for people with no education and zeal to work. What is illigitimately theres is a 16km strip that a Kalenjin from Kenya can run across in 2 hours, infact its a half marathon. The PPO has given the orders, any further MRC groupings ni Ushenzi that should be rounded up else such reckless remarks to support the outfit will lead to rise of other groupings elsewhere.....unemployment is everywhere and not unique to coast alone. Get this from a Kenyan and fellow blogger.
Nani anapaswa kuwaelimisha wananchi..... au kujenga mashule na miundombinu mingine.... I think you have the answer...
Please don't call your fellow countrymen uneducated, wavivu na washenzi..... otherwise..... this (MRC) will be worse than mungiki...
Mmoja auawa katika ghasia za kundi la MRC na polisi ya Kenya
Bango la waandamanaji
Mtu mmoja amefariki dunia na wanachama wengine saba wa kundi linalotaka kujitenga eneo la pwani mwa Kenya la Mombasa Republican Council (MRC) baada ya kupigana na polisi nje ya Mahakama ya Sheria mjini Mombasa.
Mapigano hayo yalitokea baada ya polisi kuwazuia wanachama wa kundi hilo lililopigwa marufuku kuingia katika mahakama hiyo iliyokuwa ikisikiliza kesi inayohusu wanachama wa MRC.
Vijana wa kundi hilo linalotaka kujitenga pwani ya Kenya waliokuwa wamevaa tisheti zenye maandishi "Pwani si Kenya", walijaribu kuingia mahakamani kwa nguvu lakini wakazuiwa na polisi wa kuzuia ghasia.
Kuta zilizochorwa na wafuasi wa MRC
Serikali ya Kenya imelipiga marufuku kundi hilo na imetangaza kwamba haitafanya mazungumzo na watu wanaotaka kujitenga.
Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga alisema jana kwamba serikali ya Nairobi haitafanya mazungumzo na kundi hilo hadi pale litakapotupilia mbali kaulimbiu yake ya "Pwani si Kenya" na kujitambua kuwa ni Wakenya.
Mahakama ya Mombasa sasa imemwagiza OCPD wa Mombasa Kipkemboi Rop kufika mbele yake kesho kuwasilisha uchunguzi wake kuhusu ni nini kilichosababisha kuuawa kwa mshukiwa mmoja wa kundi la Mombasa Republican Council jumatatu wakati wa rabsha kati yao na polisi.
Wakati huo huo mkuu wa polisi mkoani pwani amesisitiza kuwa polisi wataendeleza msako mkali dhidi ya kundi hilo.
Video:
Posted by Roy Snr. at 01:10